Aisee kumiliki gari kumbe gharama hivi? Nimetumia 505,000/= kufanya service!!

Dunia duara hiyo pesa unayolalamika kuna wengine wanatumia kufanya service za bike zao kubwa kama BWM RS1200 na kTM.
 
Mazee naona mnaniandama kinoma.
Mbona fundi wangu namuamini sana. Kweli atakua kanipiga hata mimi classmate wake? Tena alikua hadi ananisaidia kugalaliza bei za vifaa.
...hata babako mzazi kama ni fundi anakupiga parefu tu.....sembuse classmate..

Fundi ni fundi tu...
 
Mkuu umepigwa spana, hata spare original za land cruiser zingine hazifikii hizo bei ulizopewa
 
Kakuoiga labor charge ba baadhi ya vifaa labor ni 40 tu
 
Hydrolic kapewa ya kawaida sana ya elf 7 kwa lita ni 28000 lita nne hiyoangechukua type 4 toyota geniune au nissan ni 90 jamaa kapigwa sana
 
Dah! we Mkaka unatia Aibu sana yan Laki tano na point unalalamika
Je sisi wenzio tunatumia kitu cha Germany utatuweza kweli.
Uza hako jababy worker chako hama Toyota njoo product za Mjeruman very Unique na zinaheshima yake ukipark somewhere utaona hata Warembo wanajipitisha.

Uuuwiii isije ikawa ulishawah kwenda nayo ukweni hiyo Babyworker yake...
 
Hydrolic kapewa ya kawaida sana ya elf 7 kwa lita ni 28000 lita nne hiyoangechukua type 4 toyota geniune au nissan ni 90 jamaa kapigwa sana
Aisee wewe rafiki yake Extrovert nimechoka sasa na ukiritimba wenu!

Hii ndio hydraulic tuliyonunua na fundi. Dumu mpaka leo lipo kwenye buti la gari sijalitupa. Tulinunua 60,000 pale Sinza Kijiweni.

Mnajifanya wajaaanja... Utadhani mimi ndio wa kwanza kupigwa tangu gari ziingie Bongo!
 
Kwahio umekuja kutuchamba sio? Amna noma lakini fureshi.
 
Umepatia mwana hii TYPE IV ndio recommended kwany user manual ya Toyota IST na hao wengine wanaoutumia injini inayo fanana na IST
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…