Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona umepaniki kwenye utani 😅 mkaka hauko mwenyeweFala sana wewe Dada.
Jina lenyewe ni Demon 👿SRT Jini 🤣
Yaani kuna gari hata majina hatuyajui😀Aisee mkuu, sasa hapa ndo ukiitazama gari unayoendesha ya mwaka 2002 sijui toyota spacio ndo unakumbuka wakisema nchi zinazoendelea chini ya jangwa la sahara wanakusema wewe.
Iko safi sana, na mtaani zipo za kutoshaMimi sina ndoto kubwa sana, nikipata hii chuma tu, nakuwa nimeshafunga mahesabu kwenye mambo ya magari...
WV Toureg...
View attachment 3208616
Hii gari body yake ina ukubwa kama gari gani ya Toyota?.Mimi sina ndoto kubwa sana, nikipata hii chuma tu, nakuwa nimeshafunga mahesabu kwenye mambo ya magari...
WV Toureg...
Yeah, ni nyingi sana siku hizi....Iko safi sana, na mtaani zipo za kutosha
Nafikiri labda Prado na labda highlander...Hii gari body yake ina ukubwa kama gari gani ya Toyota?.
Lakini sio dodge challenger zote zinakuja na hemi v8. Kuna option ya 3.6 V6Unafikiri kutembeza Hemi V8 ni kama kupiga mswaki eeh!?
Kama gari lako halipo hapa, unatusindikiza wenye magari tu.