Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
ππππ hii kwenye soka tunaita super subIssue simple tu aende kijijin atafute mtot mbiichii apime mashine atangaze ndoa jina libadilishwe tu chap simple aende na muda alikuwa anataka kuvaa bomu
πππππjibu konkiAngalia asije akahamishia mahari kwako, maana sijawahi sikia wanaume wanabembelezana
Hakuna uongo wowote hayo ni matukio ya kweli ukitaka ushahidi upoNafikiri unasumbuliwa na:
uongo
1.tabia ya kudanganya
2.maneno yasiyo na ukweli
Wakuu nisaidieni hivi hapo mimba itakuwepo au haipo?
Wakuu nisaidieni hivi hapo mimba itakuwepo au haipo?www.jamiiforums.com
Nimepigwa na kitu kizito, mwanamke nayetaka kumuoa nimebaini hajatulia
Ni mlokole Huyo binti ni mlokole (uchwara)? Ukinijibu hili swali nitakuja nikupe ushauri ambao kama ukiuzingatia utakusaidia sana!www.jamiiforums.com
Kila anachoomba anapewa lakini hataki kutoa penzi
Kuna rafiki yangu kanilalamikia sana leo, anasema ana mwanamke alimtongoza na wana miezi kama saba hivi. Kila akimpanga kuja geto anatafuta visingizio ila jamaa anajitoa sana kwa mwanamke, akiomba pesa anapewa, akiomba pesa ya kusuka anapewa, jamaa akiomba waonane wanaonana sehemu kama kwenye...www.jamiiforums.com
Mwanamke kazima simu kisa mpango tulikuwa nayo mwezi huu
Kuna mwanamke nipo nae kwenye mahusiano kuna mpango tumepanga kila siku nikiongea nae namkumbusha. Sasa jana nime mkumbusha , akanikasirikia kabisa anasema ",nimeshaona kuwa siaminiki wewe mtu kila siku tunaongea mambo hayohayo lakini bado unanisisitizia kiasi ambacho naona kabisa huniamini kwa...www.jamiiforums.com
Binti aliyetolewa mahari katoroka na mwanaume mwingine
Huyu homeboy, nna mawifi kama wote Kwani Huwa mnajali Hilo nyieπππ taarifa zenu Si tunazo mankawww.jamiiforums.com
Je, kumuacha mtu umpendaye ni rahisi?
Je, kumuacha mtu umpendae ni kitu rahisi? Na je kama ni rahisi ninjia gani hutumika kuondoa maumivu ya moyo? Kama umeshawahi kupitia maumivu naomba uniambie ulivukaje (kiufupi kuna kiumbe anautesa moyo wangu) halafu kila nikipiga hesubu naona kama ananileta mapicha picha nazidi kuumia. Sasa...www.jamiiforums.com
Mahusiano ya kimapenzi yananitesa
Hupendwi au jamaa kakuzidi pesa. Kwani mkuu huyo manzi amewahi kukutambulisha kwao? Ndio ila wazazi hawajanikubali kwasababu wao wanamtambua jamaa wakwanza nawalimpendawww.jamiiforums.com