Aisee kuna mtu nambembeleza huku chakula hakipiti

Aisee kuna mtu nambembeleza huku chakula hakipiti

Niko hapa nabembeleza mtu

Nafikiri unasumbuliwa na:

uongo

1.
tabia ya kudanganya

2.maneno yasiyo na ukweli
















 
Mwamba mmoja kagawa kadi za harusi watu wamechanga na tarehe imetangazwa Tayari ni mwezi ujao.
Jamaa kasikia kwamba demu ana mimba. Nahajawahi mgusa. Niko hapa nabembeleza mtu aisee hizi ishu zisikie tu kwa wengine zisi kukute.
Kataa ndoa oyeee
 
Wanawake chanzo kikuu cha machafuko..Wana wake chanzo kikuu cha upungufu wa nguvu za kiume..ngoja ntakuja na uzi
 
Mwamba mmoja kagawa kadi za harusi watu wamechanga na tarehe imetangazwa Tayari ni mwezi ujao.
Jamaa kasikia kwamba demu ana mimba. Nahajawahi mgusa. Niko hapa nabembeleza mtu aisee hizi ishu zisikie tu kwa wengine zisi kukute.
Pole kwa yaliyokukuta ndugu yangu, ila si uliamua kupenda mwenyewe? na ukakubali kufanywa zwazwa eti usimguse hadi umuoe
 
downloadfile-1.jpg
 
Lakini ni bora ana uhakika mimba sio yake kuliko angekuwa kamgonga akabebeshwa mtoto asiye wake. Watu wengi nimeona watoto wao wa kwanza inakuwa sio wa kwao. Aachane naye na kutafuta mwingine. Ila kushindwa kula pia ni UPUMBAVU NA UDHAIFU. Matatizo ya moyo yanahusiana vipi na tumbo? Aache upuuzi atapata vidonda vya tumbo.
 
Huyo jamaa muongo muongo juzi katuleteas story fulani iv , jana kaleta na ukipitia nyuz zake utagundua tu.
Anawachosha wachangiaji.
 
Mambo magumu sana hayo, pole sana kwa huyo kijana najua anapitia wakati mgumu sana.
 
Si atafute mwingine kwani shida nini.?? Mwanamke ni huyo peke yake ? Anaweza akatafuta mwengine tu na akatengeneza mapenzi hapo cha kufanya asiogope fedheha za ulimwengu na watu wake.

Kuna kitu ameepushwa nacho kutoka kwa huyo binti ambae hakuwa ametulia
 
Angekua ni rafiki yangu tungefanya kama yule jamaa wa katavi, ila simjui rafiki yako kama anaweza kua rafik zangu
 
Unafikiaje mpaka kutaka kumuoa mwanamke ambae hujamla?
 
Kila siku nawaambia humu vijana, nyakati tulizopo ukileta u-nice guy utapigwa kama ngoma.
 
Back
Top Bottom