Aisee kuna wanaume wavivu

Aisee kuna wanaume wavivu

Hilo nalo neno
Umeongea point kubwa sana
Wala yawezekana hampo wengi, kuna mda wanaume huwa tuna mawazo unakuta hiyo kitu una ham nayo ila huko down chini hapana ushirikiano. Unaezapanda ile unagusisha tu jamaa hana habari ndo anasinzia kabisa. Hapo ujue kichwani kwa mwanaume kumejaa mafilr mezani na sisi hatuwezi kufanya mult task mamangu Nakadori hivo ukiona mwanaume wako yupo hivo wewe sasa ndo unatakiwa kufanya kazi ya ziada kumrudisha kwenye line.

Kama ni mumeo home kaa jikoni mtengeneze, siwezi sema hapa njoo inbox kuna vitoto vingi humu ila kuna juis mchanganyiko ukimpa hiyo mbona jioni tu utabeba pichu kichwani ila mkongo nao shughuli yake pevu ukiupaka ule mpaka inakuwaga kero kwa mwanamke
 
Huyu kwenye maandalizi hana shida kabisaaaa anaaansaliwa vyema..
Kuanzia menu, usafi wake , na wangu. Sema alishakojoa tuu anakoromea hapo hapo kifuanii na ndo hadi morning glory hyo
 
Mimi nikishamaliza Kazi yangu ya kupalilia shamba...nimemaliza, sina cha zaidi.....

Maswala ya kusafisha shamba kukusanya magugu na takataka nyinginezo ...

Tafuta wengine wale Kazi kunoga! wakusaidie kung'arisha shamba lako!
 
Nani kasema kisayansi alitambuliki.,?
Hakuna tatizo la nguvu za kiume kama inasimama sasa tatizo linatoka wapi ndio maana mtu kwa mke wake anapiga kimoja akitoka nje kwa malaya anapiga hatrick au akikamata housegirl anakesha ni illusion hakuna kitu huna kazi huna hela ya kula kichwa kimejaa stress nguvu unatoa wapi
 
Mrembo, wacha watu wale mbususu kwa kiasi kulinda afya zao bhana.
Juzi hapa kuna doctor kasema ukila sana K unawahi kukata moto..

😂😂😂
 
Hakuna tatizo la nguvu za kiume kama inasimama sasa tatizo linatoka wapi ndio maana mtu kwa mke wake anapiga kimoja akitoka nje kwa malaya anapiga hatrick au akikamata housegirl anakesha ni illusion hakuna kitu huna kazi huna hela ya kula kichwa kimejaa stress nguvu unatoa wapi
🤓🤓🤓🤓 Daah hayo mambo yapo bana sema hayajakukuta tuu...
Balance diet yako inakubeba na life style
 
Back
Top Bottom