Atlantic Star
JF-Expert Member
- Feb 22, 2023
- 539
- 1,696
......ni kweli mara nyingi wanaume tunakuwa na msongo, uchovu au stress za kazi.....we si huwa unaona siku nyingine tukiwa fiti namna unavyoenjoy.....Ila wanaume wa humu wanapenda mada za kuwasema wanawake๐๐๐Leo wanavojitetea Sasa ๐๐๐
Ooh kazi sijui nn mara tunachoka๐๐๐