Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Nimeamini
😁😁😁😁😁🙏Watanzania unaweza hata kutuamrisha kulala saa 12 kama kuku na tukatii bila shuruti!
Nimeamini Kila mtanzania ni muoga hata Mimi mwenyewe muoga yaani gwajima kapigwa mkwara siku Moja tu kafyata mkia hata mtandaoni haposti waumini wake Kila siku wanapigwa mabomu ya machozi Mimi nikajua alivyoongea zile kauli ni jasiri atakua wazi kama mwenzie lissu bila kujificha kumbe muoga sio mchezo ama kweli uoga ni haki ya mtanzania🤣🤣🤣🤣🤣
Jamaa ni shujaa si muoga kama unavyosema. Amefanya jambo kubwa sana na zito. Ameweza kupaza sauti kuhusu utekaji na mauaji akiinyoshea kidole taasisi ya Uraisi. Kama ni vita Gwajima amewashinda maadui zake. Issue ya waumini na kufungiwa kanisa ni jambo dogo sana kwake.Uoga mzigo Mimi nilijua gwajima atakaza kumbe muoga sio mchezo haya waumini wake wanachezevichapo damu zinamwagika yeye hata tamko la mtandaoni tu hatoi kiufupi kawatafutia matatizo Bora angefunga Domo lake
unaweza tenganisha imani na siasa ???yaani ...
ona sasa Gwaji kawatelekeza kondoo wa Bwana
siasa ni upumbafu sana
Mimi bado nasubiri nione wale waliosema watazuwia uchaguzi, japokua watu wameshajiandikisha na sasa wanachukua fomu.Uoga ni haki ya mtanzania
hadi hapo ameshaji-disqualify kuwa kiongoziNimeamini Kila mtanzania ni muoga hata Mimi mwenyewe muoga yaani gwajima kapigwa mkwara siku Moja tu kafyata mkia hata mtandaoni haposti waumini wake Kila siku wanapigwa mabomu ya machozi Leo nimeona wengine wamechezea vichapo na polisi mpaka damu zimetapakaa Mimi nikajua alivyoongea zile kauli ni jasiri atakua wazi bila kujificha kumbe muoga sio mchezo ama kweli uoga ni haki ya mtanzania🤣🤣🤣🤣🤣