Aisee kweli watanzania ni waoga gwajima kapigwa mkwara siku Moja tu kaingia mitini waumini wake wanateseka

Mkuu haya maisha si wakati wote unapaswa kukomaa. sometimes una relax kiaina unasubiri upepo mbaya upite halafu unaendelea na maisha.
 

yaani ...

ona sasa Gwaji kawatelekeza kondoo wa Bwana

siasa ni upumbafu sana
 
Wakristo hawana hulka ya kufanya ghasia wanapoonewa. Ingekuwa ni waislam pale pangetokea maafa makubwa
 
Uoga mzigo Mimi nilijua gwajima atakaza kumbe muoga sio mchezo haya waumini wake wanachezevichapo damu zinamwagika yeye hata tamko la mtandaoni tu hatoi kiufupi kawatafutia matatizo Bora angefunga Domo lake
Jamaa ni shujaa si muoga kama unavyosema. Amefanya jambo kubwa sana na zito. Ameweza kupaza sauti kuhusu utekaji na mauaji akiinyoshea kidole taasisi ya Uraisi. Kama ni vita Gwajima amewashinda maadui zake. Issue ya waumini na kufungiwa kanisa ni jambo dogo sana kwake.
 
yaani ...

ona sasa Gwaji kawatelekeza kondoo wa Bwana

siasa ni upumbafu sana
unaweza tenganisha imani na siasa ???

ujinga wa fikra hata Mungu anasema ndio unao tuangamiza watu wake.
 
hadi hapo ameshaji-disqualify kuwa kiongozi

Sasa utajua kwanini TAL na HECHE wanapendwa maana wanabackup maneno kwa vitendo na sio longolongo 2

TAL = kama mnataka kuninyonga hadi kufa, endeleeni tu!

#NoReformsNoElection
 
Gwajima yupo mahakamani kupinga kufungiwa kwa kanisa lake, ameamua kuwa kimya ili kutoingilia kesi iliyopo mahakamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…