Na wewe yafaa ukapimwe mkojo, inamaana hueliona hilo tu?HONGERENI SANA,HUKU TANZANIA BANDARI ZINAENDESHWA KISIASA BADALA YA KUENDESHWA KITAALUMU MUNGU TUSAIDIE
mkuu labda nikujibu kifupi unania adithi maahali ninapo fanya kaziNa wewe yafaa ukapimwe mkojo, inamaana hueliona hilo tu?
Bandari ya Tanga itafufuka baada ya Viwanda hususani Kiwanda Kikubwa zaidi EA cha cement, na Mafuta ghafi toka Uganda, South Sudan, DRC na Kenya kupitia pale,
Hivyo basi Bandari hii tayari imeanza kuboreshwa, na pia Bandari ya Mtwara inafanyiwa upanuzi, Bandari ya Dsm pia inafanyiwa upanuzi,
Pamoja na kupima mikojo hawa jamaa pamoja na wapinzani wasiojielewa kama wapinzani wa Tz Serikali inajitahidi kufanya kazi nzuri .