Thanks for the update. I am impressed by your ability to dig for this information.
Lord have mercy!!!Na wewe yafaa ukapimwe mkojo, inamaana hueliona hilo tu?
Bandari ya Tanga itafufuka baada ya Viwanda hususani Kiwanda Kikubwa zaidi EA cha cement, na Mafuta ghafi toka Uganda, South Sudan, DRC na Kenya kupitia pale,
Hivyo basi Bandari hii tayari imeanza kuboreshwa, na pia Bandari ya Mtwara inafanyiwa upanuzi, Bandari ya Dsm pia inafanyiwa upanuzi,
Pamoja na kupima mikojo hawa jamaa pamoja na wapinzani wasiojielewa kama wapinzani wa Tz Serikali inajitahidi kufanya kazi nzuri .
Kuwampole utajua tuNina swali, Bandari ya Lamu itahudumia eneo gani la Kenya/Nje? Yaani Miundo mbinu yake imeunganishwa na wapi? Mombasa najua tayari, lkn Lamu sijajua bado!
Kila siku ni KIKI za makontena hewa, makinikia na Flow meter.HONGERENI SANA,HUKU TANZANIA BANDARI ZINAENDESHWA KISIASA BADALA YA KUENDESHWA KITAALUMU MUNGU TUSAIDIE
Akili za makinikiamkuu labda nikujibu kifupi unania adithi maahali ninapo fanya kazi
Bandari ya lamu ni project moja tu ndani ya mpango mzima wa lapsset, ambayo lengo lake ni kufungua a new transport corridor in kenya.Nina swali, Bandari ya Lamu itahudumia eneo gani la Kenya/Nje? Yaani Miundo mbinu yake imeunganishwa na wapi? Mombasa najua tayari, lkn Lamu sijajua bado!
Kwa hiyo unajivunia a foreign military base in your country?Rais pia alifanya mazungumzo ma kamanda mkuu wa jeshi la china, Mchina amefanya propasal ya kuwa na naval base yake hapo bandarini lamu, kama ile ya djibouti waliyoizindua hivi majuzi. Watakuwa na manowari na nyambizi zao hapo lamu kama protection force ya meli zao.
View attachment 577164View attachment 577166
Lapsset ikianza Uganda alikua hayuko kwa hesabu, na Kenya ilikua haijavumbua oil... So nenda ukajitayarishe upya uje tena..Oil from Lokichar will go through Hoima - Tanga Pipeline. Making this danm port even more huge white elephant.
Foreign millitary bases si jambo jipya kwa ulimwengu wa leo, muingereza ana tayari bases mbili nchini kenya na zimekuwepo muda mrefu tu, nanyuki base (Batuk) na nyingine ya antimine training ambayo ipo nairobi.Kwa hiyo unajivunia a foreign military base in your country?
Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app