Aisee libandari letu la Lamu lakaribia kukamilika!

Aisee libandari letu la Lamu lakaribia kukamilika!

Na wewe yafaa ukapimwe mkojo, inamaana hueliona hilo tu?
Bandari ya Tanga itafufuka baada ya Viwanda hususani Kiwanda Kikubwa zaidi EA cha cement, na Mafuta ghafi toka Uganda, South Sudan, DRC na Kenya kupitia pale,
Hivyo basi Bandari hii tayari imeanza kuboreshwa, na pia Bandari ya Mtwara inafanyiwa upanuzi, Bandari ya Dsm pia inafanyiwa upanuzi,
Pamoja na kupima mikojo hawa jamaa pamoja na wapinzani wasiojielewa kama wapinzani wa Tz Serikali inajitahidi kufanya kazi nzuri .
Lord have mercy!!!
 
Master plan ya bandari ya lamu berths zote 32 zitakapokamilika, itakuwa kama ile ya jebel ali pale dubai, bonge la free port
C8zKgt-VwAAtBf7-1.jpeg
 
Kazi nzuri. inabidi tuje kujifunza hko jinsi miradi ya aina hiyo inavyofanyika. Huku kwetu bado tunasubiri bandari ya Bagamoyo naona kama haiongelewi tena kwa sasa.
 
Deep sea dredging ( uchimbaji wa channel) inayoendelea
MDCskNF.jpg

Rais apokea briefing kuhusu progress ya bandari
18489630_1678355485526331_2072310784472248874_o.jpg.jpeg
 
Land reclamation works
Nchi kavu inatengezwa baharini, yaani mchina anatisha kwenye huu mradi na scope of works yake.
MkmGRiY.jpg
6R0MBiJ.jpg
mYBn3j8.jpg
GNQDEZE.jpg
 
Naval base? = Growing Chinese influence in Kenya.
 
Nina swali, Bandari ya Lamu itahudumia eneo gani la Kenya/Nje? Yaani Miundo mbinu yake imeunganishwa na wapi? Mombasa najua tayari, lkn Lamu sijajua bado!
Bandari ya lamu ni project moja tu ndani ya mpango mzima wa lapsset, ambayo lengo lake ni kufungua a new transport corridor in kenya.
Pitia huku ujuzwe zaidi http://www.lapsset.go.ke
 
and by the way tanzanians, this port is being built by Kenyan money...not a loan...there is a tanzanian always asking why EA largest economy is taking loans to finance projects...
 
Rais pia alifanya mazungumzo ma kamanda mkuu wa jeshi la china, Mchina amefanya propasal ya kuwa na naval base yake hapo bandarini lamu, kama ile ya djibouti waliyoizindua hivi majuzi. Watakuwa na manowari na nyambizi zao hapo lamu kama protection force ya meli zao.
View attachment 577164View attachment 577166
Kwa hiyo unajivunia a foreign military base in your country?

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
 
Dredging and pilling works
44aGvlr.jpg

Pilling works
jDJ0Lr2.jpg
sJNy2TM.jpg
RLQEnhT.jpg
 
Causeway to newly reclaimed island
qDMeF2x.jpg

200tonnes crawler crane ikiwa kazini
33102456220_80b7913b86_b.jpg

Soil compaction works
x7QS6Ps.jpg
 
Jengo jipya ambalo ndilo makao makuu ya halimashauri ya bandari ya lamu
download-3.jpeg

hgngspkjejgrkx58c305eccc09e.jpg
 
Oil from Lokichar will go through Hoima - Tanga Pipeline. Making this danm port even more huge white elephant.
Lapsset ikianza Uganda alikua hayuko kwa hesabu, na Kenya ilikua haijavumbua oil... So nenda ukajitayarishe upya uje tena..


MUganga hakuwa ndani ya picha kabisa, baadae yeye ndo aliomba kuingizwa kwa mpango lakini hakuwa priority... Hata ukiangalia jina la Lapsset linamaanisha LAmu Port South Sudana & Ethiopia Transport-corridor... Hakuna Uganda hapo kwa hilo jina

Hata ukiangalia official launch, Uganda alikua hayuko kw apicha..

Meles Zenawi wa Ethiopia, Mwai Kibaki wa Kenya na Salva kiir wa S.Sudan

1216261.jpg



Namuona Kalonzo akifatwa na Naila shati nyeupe alafu Zenawi, Kibaki, Salva kiir... wanaangalia Bandari ya Lamu vile itakavyokua
LPST.jpg


pipeline.jpg




Hata pia ukiangalia original plan, Bomba la mafuta la Uganda halikuwa kwenye picha
Lapsset.jpg
 
Kwa hiyo unajivunia a foreign military base in your country?

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
Foreign millitary bases si jambo jipya kwa ulimwengu wa leo, muingereza ana tayari bases mbili nchini kenya na zimekuwepo muda mrefu tu, nanyuki base (Batuk) na nyingine ya antimine training ambayo ipo nairobi.
Africa - British Army Website
Marekani naye ana base yake hapo hapo lamu eneo la manda bay, yaiitwa camp simba
B5eguTlIIAEXyaf.jpg

Israeli defence force air unit nao wana air training unit nairobi pia, so its was only a matter of time mchina naye abishe hodi.
 
Back
Top Bottom