Tanzania building electric rail at half price of Kenyaβs diesel Standard Gauge Railway linemy bad about Ethio-Erit War.
majibu yote utayapata hapa Lamu Port and Lamu-Southern Sudan-Ethiopia Transport Corridor - Wikipedia kuhusu Utafiti/Research Studies na Economic Internal Rates of Return/Viability which all scored above average and its also part of our Vision 2030.
kwa Tanzania na biashara nzuri/mbaya..... inategemea na uchumi wenu, how far you can stretch. kumbuka chochote Kenya inafanya/inataka kufanya saa hii, Tanzania inataka ikifanye kikubwa zaidi na bora. JPM alipopata dili la mafuta ya Uganda nilimsikia akirusha vijembe "....'Wao' wanadhani kila kitu kibora kinapatikana kwao tu....."
haina haja tuzungushane, Bagamoyo ilimshinda ndio maana akaipiga teke.
Lamu Port ilikuwa kwa mipango tangu 1975, wakati wake sasa umefika. biashara ni nzuri Mombasa Port ndio maana iliboreshwa tayari. Lamu Port will reduce the traffic congestion years to come.
help me understand why the project is not viable for Kenya yet you are building an electric sgr going to no where what am trying to say here is that you guys produce less electricity than Kenya export & import less than Kenya but still think your projects are more viable than Kenyan ones but i would undersand you want Kenya to stop being the first in everything both good and bad here in E&C Africa am sorry to tell you than Kenya wont stop doing great stuff for herself just because some unknown people from an unknown country think her projects are not viable.LAPSSET aka UPSET is not viable economically,viable on the eyes of architects of grand corruption in Kenya.
Chungu kumeza[emoji1] [emoji1] [emoji1]
LAPSSET aka UPSET is not viable economically,viable on the eyes of architects of grand corruption in Kenya.
Dubai gani hiyo haina waarabu, imejaa tu waafrika na matege yao! HeheheπBuild your Dubai in Kigoma first... The one that you said is Viable
ati Kenya hiyohiyo imekopa around $2 bln after elections.and by the way tanzanians, this port is being built by Kenyan money...not a loan...there is a tanzanian always asking why EA largest economy is taking loans to finance projects...
Bagamoyo iko wapi?πππati Kenya hiyohiyo imekopa around $2 bln after elections.
Bagamoyo itakuja na haitakuwa tembo mweupe plenty of EPZ zones plus a plan to extend SGR n gas pipeline to the port.Bagamoyo iko wapi?πππ
iNAKUJA TANGU 2009???Bagamoyo itakuja na haitakuwa tembo mweupe plenty of EPZ zones plus a plan to extend SGR n gas pipeline to the port.