Aisee libandari letu la Lamu lakaribia kukamilika!

Aisee libandari letu la Lamu lakaribia kukamilika!

Itakuwa Navy base ya pili ya mchina baada ya ile ya jibuti.

Japo nilipata kusoma mahali kuwa hata bagamoyo ingekuwa na navy base ya huyu mchina ambae anaanza kujiaandaa kuwa super power kwa kuweka infrastrcture za force projection
 
my bad about Ethio-Erit War.
majibu yote utayapata hapa Lamu Port and Lamu-Southern Sudan-Ethiopia Transport Corridor - Wikipedia kuhusu Utafiti/Research Studies na Economic Internal Rates of Return/Viability which all scored above average and its also part of our Vision 2030.

kwa Tanzania na biashara nzuri/mbaya..... inategemea na uchumi wenu, how far you can stretch. kumbuka chochote Kenya inafanya/inataka kufanya saa hii, Tanzania inataka ikifanye kikubwa zaidi na bora. JPM alipopata dili la mafuta ya Uganda nilimsikia akirusha vijembe "....'Wao' wanadhani kila kitu kibora kinapatikana kwao tu....."
haina haja tuzungushane, Bagamoyo ilimshinda ndio maana akaipiga teke.
Lamu Port ilikuwa kwa mipango tangu 1975, wakati wake sasa umefika. biashara ni nzuri Mombasa Port ndio maana iliboreshwa tayari. Lamu Port will reduce the traffic congestion years to come.
Tanzania building electric rail at half price of Kenya’s diesel Standard Gauge Railway line
 
LAPSSET aka UPSET is not viable economically,viable on the eyes of architects of grand corruption in Kenya.
 
LAPSSET aka UPSET is not viable economically,viable on the eyes of architects of grand corruption in Kenya.
help me understand why the project is not viable for Kenya yet you are building an electric sgr going to no where what am trying to say here is that you guys produce less electricity than Kenya export & import less than Kenya but still think your projects are more viable than Kenyan ones but i would undersand you want Kenya to stop being the first in everything both good and bad here in E&C Africa am sorry to tell you than Kenya wont stop doing great stuff for herself just because some unknown people from an unknown country think her projects are not viable.
 
Aisee mwendo ni ule ule mazeee , ni wa piga uaaaaaa![emoji3]
B8WqWjwh.jpg
staff quaters znaendea kamilika kwa kasi ya atareee
Berths izooo[emoji122] [emoji122]
ltL9BEg.jpg

ZQ8LCFZh.jpg
ktRESNzh.jpg

route map!
28070739_550351448658778_6450290636598942152_o-1.jpg
 
Hapa tunajenga "the free port of africa" sawia na the jebel ali port pale dubai mazee! [emoji122] [emoji123] [emoji123] tutafika tu!
 
and by the way tanzanians, this port is being built by Kenyan money...not a loan...there is a tanzanian always asking why EA largest economy is taking loans to finance projects...
ati Kenya hiyohiyo imekopa around $2 bln after elections.
 
Huu uzi umewapa majungu WaTanzania hohoho,na je Jengo la pinnacle likishafika mita 320 si kitakua kinyongo humu?
 
Back
Top Bottom