Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Uhakika wa maisha teh hali yenyewe ilivo tete sahivi hadi wanaume wanadanga, akapata uhakika wa laki mbili kwa wiki ataacha kuzaaIla nae Hamisa kwenda kuzaa na mtu ambaye yupo kwenye mahusiano,sijui aliwaza nini ?Sasa familia yote ya Dai imemtenga.Ila yataisha tu.
KWA HAMISA ANAVYOFANYA NINA UHAKIKA NI HAMISA NDIO ALIMTONGOZA DIAMOND ALIKUWA NA UWEZO WA KUKATAAWatu tunapngea sana na kuamini kua yetu tuyawazayo ni sahihi,yaani tunataka kumfanya diamond kua mtu asiye na hatia hivi wakati yeye ndie kaleta haya yote ,ingelikua ametulia na Zari huyo hamisa mimba angeitoa wapi?
Mm mtoa duku duku kama shabiki kindaki ndaki wa WCB
Inamaana yeye na Diamond walihangaika kuzaa haikuwa ajali wala a one night stand.Watu tunapngea sana na kuamini kua yetu tuyawazayo ni sahihi,yaani tunataka kumfanya diamond kua mtu asiye na hatia hivi wakati yeye ndie kaleta haya yote ,ingelikua ametulia na Zari huyo hamisa mimba angeitoa wapi?
Fatilia historia ya zari alafu uje upya.Kuna mwanamke Wa Kuishi nae Na mwanamke Wa kupiga Mambo ..
Zari ni mwanamke Wa kuishi nae Na Mobeto ni Malaya Wa kupiga mambo sema tu kwa diamond kumpa mimba ilikuwa bahati mbaya...
Wanaume woooote tunalijua hili suala , so hatushangai yanayotokea kwa Hamisa. Ninachoweza kumshauri Hamisa yeye aachane na utoto mwingi. Yeye ni mama Wa Watoto wawili media attention aachane nazo, alee wanae.
Sasa kwa nini wamemtenga ?Au wanamwogopa Zari ?Mbona Zari kwa diamond hapindui ?Mama Naseeb nae hajui kusoma alama za nyakati.Ila ndugu wa mme ni wanafki sana hawachelewi kukugeuka.Anasema haikuwa ajali walikaa na kuyapanga
Anasema haikuwa ajali walikaa na kuyapanga
Wangetaka yawe siri wasingeyaweka insta mkuu na wengine hii ni shughuli ya mapumzikoni kutoa stressMpo dipuuu upele leo umepata mkunaji mnapishana tu everyn salt wakuu nimewavulia kofia [emoji120] [emoji120] [emoji120]
KWAHIYO NI MIMBA YA MIAKA TISA.HUYO KAZAA YA MAJZO KABLA WAKATI ALIKUWA KWENYE UHUSIANO NA DIAMONDInamaana yeye na Diamond walihangaika kuzaa haikuwa ajali wala a one night stand.
Dili ilikuwa akae kimya wakati wana angalia upepo. Hamisa alilikoroga alivyoanza kuwarusha insta, yeye alikuwa ana fight mwanae awe recognised kama Tiffa na NillanSasa kwa nini wamemtenga ?Au wanamwogopa Zari ?Mbona Zari kwa diamond hapindui ?Mama Naseeb nae hajui kusoma alama za nyakati.Ila ndugu wa mme ni wanafki sana hawachelewi kukugeuka.
Usiishie kutuvulia kofia tu 😀😀Mpo dipuuu upele leo umepata mkunaji mnapishana tu everyn salt wakuu nimewavulia kofia [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Evelyn Salt kwa awam hii mama mond namtetea yule mtoto hamisa ni mpumbavu huwezi kutaka kushindana na main chik then ubaki salama, kwanza alivunja makubaliano juu ya kuficha siri halafu kuvujisha picha zile ilikua kutaka kuiharibu image ya chibu moja kwa moja.Sio kweli juzi tu hamisa kajifungua walikua nae, yeye tu kaharibu na uswazi wake ukizingatia mama diamond anavompenda kijana wake
Kwani Diamond alitamka kua ulikua ajali? Mbona wenyewe wamejielezea vizuri sana ila kinachowauma ma Dada wengi wa kibongo ni kuona zile raha na starehe anazopata zari hazimpati hamisa, basi ndio tunazidi kuchonganisha ila vijiroho mbaya si vizuriInamaana yeye na Diamond walihangaika kuzaa haikuwa ajali wala a one night stand.
Ogopa sana ndugu wa mume, Mimi nilivyomtifua mama mkwe wangu humu nilionekana nna langu ila ogopa mnoo ni mama diamond huyo huyo ndie aliyekua hampendi zari na kumtupia maneno ya vijembe kila wakati lakini Leo kageukaSasa kwa nini wamemtenga ?Au wanamwogopa Zari ?Mbona Zari kwa diamond hapindui ?Mama Naseeb nae hajui kusoma alama za nyakati.Ila ndugu wa mme ni wanafki sana hawachelewi kukugeuka.
Siri ya mtungi aijuae kata, mbona show ya Jana Zenj Zari hakuwepo?Kwani Diamond alitamka kua ulikua ajali? Mbona wenyewe wamejielezea vizuri sana ila kinachowauma ma Dada wengi wa kibongo ni kuona zile raha na starehe anazopata zari hazimpati hamisa, basi ndio tunazidi kuchonganisha ila vijiroho mbaya si vizuri
Wadada wa bongo hamna jema afadhali kama unalijua , kati ya wapiga kelele wote akiwapo mange ni nani atatongozwa na mond akatae? Main chick zari atabakia kua main chick na hamisa atabaki side chickKwani Diamond alitamka kua ulikua ajali? Mbona wenyewe wamejielezea vizuri sana ila kinachowauma ma Dada wengi wa kibongo ni kuona zile raha na starehe anazopata zari hazimpati hamisa, basi ndio tunazidi kuchonganisha ila vijiroho mbaya si vizuri
[emoji1] [emoji1] hivi Daudi unamshikiaga Diamond mboo yake mpaka ukajua ni bahati mbayaKuna mwanamke Wa Kuishi nae Na mwanamke Wa kupiga Mambo ..
Zari ni mwanamke Wa kuishi nae Na Mobeto ni Malaya Wa kupiga mambo sema tu kwa diamond kumpa mimba ilikuwa bahati mbaya...
Wanaume woooote tunalijua hili suala , so hatushangai yanayotokea kwa Hamisa. Ninachoweza kumshauri Hamisa yeye aachane na utoto mwingi. Yeye ni mama Wa Watoto wawili media attention aachane nazo, alee wanae.