kasulamkombe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,232
- 2,491
JAMANI ZARI NI HELA ZAKE ANA UHURU WA KUZITUA ATAKAVYOKwani Diamond alitamka kua ulikua ajali? Mbona wenyewe wamejielezea vizuri sana ila kinachowauma ma Dada wengi wa kibongo ni kuona zile raha na starehe anazopata zari hazimpati hamisa, basi ndio tunazidi kuchonganisha ila vijiroho mbaya si vizuri
[emoji1] [emoji1] sawa ila wanawake wa bongo tuache kusakamana, roho mbaya si nzuriSiri ya mtungi aijuae kata, mbona show ya Jana Zenj Zari hakuwepo?
Ulitaka naye akaimbe jukwaani au? Mbona vitu vingine mange anawashikia akili wakati yeye mwenyewe hamnazo na walishaeleza wanayatoa mapenzi yao kwenye social media.Siri ya mtungi aijuae kata, mbona show ya Jana Zenj Zari hakuwepo?
Teh shida yake hata pia sio kushindana na zari make mi sioni anashindana kwa kipi zari anamzidi kuanzia umri hadi idadi ya watoto....Evelyn Salt kwa awam hii mama mond namtetea yule mtoto hamisa ni mpumbavu huwezi kutaka kushindana na main chik then ubaki salama, kwanza alivunja makubaliano juu ya kuficha siri halafu kuvujisha picha zile ilikua kutaka kuiharibu image ya chibu moja kwa moja.
Kama sote tunalijua hilo basi tuache unafiki,hapa wa kupigwa mawe ni anayewapanga sio wapangwaji! Kama unajua hakuna mdada wa bongo atayepindua sasa tuelekeze vita yetu kwa anayemdhalilisha Queen ZariWadada wa bongo hamna jema afadhali kama unalijua , kati ya wapiga kelele wote akiwapo mange ni nani atatongozwa na mond akatae? Main chick zari atabakia kua main chick na hamisa atabaki side chick
Aliyekwambia kuna mwanamke asiye na ela nani?JAMANI ZARI NI HELA ZAKE ANA UHURU WA KUZITUA ATAKAVYO
Acha wamfundishe watu wanazaa watoto wa nje na maisha yanasonga yeye alotaka kutoa ushahidi wa video toka kwich kwichi mimba hadi kuzaa aendeleeTeh shida yake hata pia sio kushindana na zari make mi sioni anashindana kwa kipi zari anamzidia kuanzia umri hadi idadi ya watoto....
Tatizo ni huo uswazi hadi wa kuita shilawadu waje waanike mambo ya familia pale kakutana na waswazi kweli
Ndio muende sasa hukoKama sote tunalijua hilo basi tuache unafiki,hapa wa kupigwa mawe ni anayewapanga sio wapangwaji! Kama unajua hakuna mdada wa bongo atayepindua sasa tuelekeze vita yetu kwa anayemdhalilisha Queen Zari
HAMISAAliyekwambia kuna mwanamke asiye na ela nani?
Zari hana tabia za kupanda jukwaani na kunengua anaishi ki celeb kweli ndo maana akitokea watu wanashoboka sana, make hajiweki weki kwa watu kwenye show huwa anaenda lakini sio jukwaani, imagine nae angekua kama madame kila show yupo jukwaani angekua hana kipya tena hata akipita ni kawaida.Siri ya mtungi aijuae kata, mbona show ya Jana Zenj Zari hakuwepo?
Nieleze kwa wapiga kelele yupi wa kumkataa dimond akitongozwa nae LadyAJ:Kama sote tunalijua hilo basi tuache unafiki,hapa wa kupigwa mawe ni anayewapanga sio wapangwaji! Kama unajua hakuna mdada wa bongo atayepindua sasa tuelekeze vita yetu kwa anayemdhalilisha Queen Zari
Twende wapi?Ndio muende sasa huko
We ni mjinga sana unayeota maisha ya Hamisa, acha kisebu sebu hicho na kiroho papu utakufa kinywa wazi weweHAMISA
Kama unafahamu kua hakuna mpiga kelele atayetongozwa na Diamond akakataa yanini sasa mumasakame Hamisa? Mnamuita majina meengi kosa lake ni kutongozwa na kumkubali au kuzaa nae na kuweka wazi? Mwanzo mlianza kwa kumuita ana mimba isiyo na baba alipochoka kuwavumilia akaanika baba wa mtoto mmemgeuzia kibao mnamuita mshamba na washauri kibao mkaibuka kua anapotezwa kwa kumuanika hadharani baba wa mtoto wake !! Hebu tumpumzishe mwanamke mwenzetu tumkemee huyu Zipu mbovu jamani lolNieleze kwa wapiga kelele yupi wa kumkataa dimond akitongozwa nae LadyAJ:
NGOJA MOND AKUTONGOZE TUONE KAMA UTAKATAA!!We ni mjinga sana unayeota maisha ya Hamisa, acha kisebu sebu hicho na kiroho papu utakufa kinywa wazi wewe
Kama unafahamu kua hakuna mpiga kelele kama wewe atayetongozwa na Diamond akakataa yanini sasa mumasakame Hamisa? Mnamuita majina meengi kosa lake ni kutongozwa na kumkubali au kuzaa nae na kuweka wazi? Mwanzo mlianza kwa kumuita ana mimba isiyo na baba alipochoka kuwavumilia akaanika baba wa mtoto mmemgeuzia kibao mnamuita mshamba na washauri kibao mkaibuka kua anapotezwa kwa kumuanika hadharani baba wa mtoto wake !! Hebu tumpumzishe mwanamke mwenzetu tumkemee huyu Zipu mbovu jamani lolNGOJA MOND AKUTONGOZE TUONE KAMA UTAKATAA!!