Aisee mama diamond apunguze vijembe kwa hamisa hakuna aijuaye kesho.

Aisee mama diamond apunguze vijembe kwa hamisa hakuna aijuaye kesho.

Kwani Diamond alitamka kua ulikua ajali? Mbona wenyewe wamejielezea vizuri sana ila kinachowauma ma Dada wengi wa kibongo ni kuona zile raha na starehe anazopata zari hazimpati hamisa, basi ndio tunazidi kuchonganisha ila vijiroho mbaya si vizuri
JAMANI ZARI NI HELA ZAKE ANA UHURU WA KUZITUA ATAKAVYO
 
Siri ya mtungi aijuae kata, mbona show ya Jana Zenj Zari hakuwepo?
Ulitaka naye akaimbe jukwaani au? Mbona vitu vingine mange anawashikia akili wakati yeye mwenyewe hamnazo na walishaeleza wanayatoa mapenzi yao kwenye social media.
 
Evelyn Salt kwa awam hii mama mond namtetea yule mtoto hamisa ni mpumbavu huwezi kutaka kushindana na main chik then ubaki salama, kwanza alivunja makubaliano juu ya kuficha siri halafu kuvujisha picha zile ilikua kutaka kuiharibu image ya chibu moja kwa moja.
Teh shida yake hata pia sio kushindana na zari make mi sioni anashindana kwa kipi zari anamzidi kuanzia umri hadi idadi ya watoto....
Tatizo ni huo uswazi hadi wa kuita shilawadu waje waanike mambo ya familia pale kakutana na waswazi kweli
 
Wadada wa bongo hamna jema afadhali kama unalijua , kati ya wapiga kelele wote akiwapo mange ni nani atatongozwa na mond akatae? Main chick zari atabakia kua main chick na hamisa atabaki side chick
Kama sote tunalijua hilo basi tuache unafiki,hapa wa kupigwa mawe ni anayewapanga sio wapangwaji! Kama unajua hakuna mdada wa bongo atayepindua sasa tuelekeze vita yetu kwa anayemdhalilisha Queen Zari
 
Teh shida yake hata pia sio kushindana na zari make mi sioni anashindana kwa kipi zari anamzidia kuanzia umri hadi idadi ya watoto....
Tatizo ni huo uswazi hadi wa kuita shilawadu waje waanike mambo ya familia pale kakutana na waswazi kweli
Acha wamfundishe watu wanazaa watoto wa nje na maisha yanasonga yeye alotaka kutoa ushahidi wa video toka kwich kwichi mimba hadi kuzaa aendelee
 
Kama sote tunalijua hilo basi tuache unafiki,hapa wa kupigwa mawe ni anayewapanga sio wapangwaji! Kama unajua hakuna mdada wa bongo atayepindua sasa tuelekeze vita yetu kwa anayemdhalilisha Queen Zari
Ndio muende sasa huko
 
Siri ya mtungi aijuae kata, mbona show ya Jana Zenj Zari hakuwepo?
Zari hana tabia za kupanda jukwaani na kunengua anaishi ki celeb kweli ndo maana akitokea watu wanashoboka sana, make hajiweki weki kwa watu kwenye show huwa anaenda lakini sio jukwaani, imagine nae angekua kama madame kila show yupo jukwaani angekua hana kipya tena hata akipita ni kawaida.
 
Kama mama Dangote na familia yake waliweza kwenda Hosptal usiku kumuona mtoto ina maana wanamkubali mtoto ila washauri wa Hamisa kutaka kumkomoa Diamond na kutoa mpaka picha za chumbani huku unapata mahitaji yote muhimu hata kama mm ni mzazi wa Diamond nitakuona ni mbaya tu , hapohapo badala ya kukaa kifamilia na kuzungumza bado unampeleka mahakamani haiwezi kuwa sawa washauri wa Hamisa wanamchonganisha na baba wa mtoto wake
 
Kama sote tunalijua hilo basi tuache unafiki,hapa wa kupigwa mawe ni anayewapanga sio wapangwaji! Kama unajua hakuna mdada wa bongo atayepindua sasa tuelekeze vita yetu kwa anayemdhalilisha Queen Zari
Nieleze kwa wapiga kelele yupi wa kumkataa dimond akitongozwa nae LadyAJ:
 
Nieleze kwa wapiga kelele yupi wa kumkataa dimond akitongozwa nae LadyAJ:
Kama unafahamu kua hakuna mpiga kelele atayetongozwa na Diamond akakataa yanini sasa mumasakame Hamisa? Mnamuita majina meengi kosa lake ni kutongozwa na kumkubali au kuzaa nae na kuweka wazi? Mwanzo mlianza kwa kumuita ana mimba isiyo na baba alipochoka kuwavumilia akaanika baba wa mtoto mmemgeuzia kibao mnamuita mshamba na washauri kibao mkaibuka kua anapotezwa kwa kumuanika hadharani baba wa mtoto wake !! Hebu tumpumzishe mwanamke mwenzetu tumkemee huyu Zipu mbovu jamani lol
 
Le mutuz ingetakiwa amuoe huyu Mama maana wote wana akili sawa
 
NGOJA MOND AKUTONGOZE TUONE KAMA UTAKATAA!!
Kama unafahamu kua hakuna mpiga kelele kama wewe atayetongozwa na Diamond akakataa yanini sasa mumasakame Hamisa? Mnamuita majina meengi kosa lake ni kutongozwa na kumkubali au kuzaa nae na kuweka wazi? Mwanzo mlianza kwa kumuita ana mimba isiyo na baba alipochoka kuwavumilia akaanika baba wa mtoto mmemgeuzia kibao mnamuita mshamba na washauri kibao mkaibuka kua anapotezwa kwa kumuanika hadharani baba wa mtoto wake !! Hebu tumpumzishe mwanamke mwenzetu tumkemee huyu Zipu mbovu jamani lol
 
Back
Top Bottom