Aisee nimeamini wanawake ni watu wa hovyo

Kwanza jukwaa hili siyo jukwaa la mambo ya mapenzi peleka jukwaa la mapenzi mzee hili tukio ni lake maana mpaka amesahau jukwaa la kupeleka hii story
 
Dem alipotaka atoke kwao naye akazingua ndo alipompoteza dem wake.

Shida ina chanzo hiiq
 



Medali yao imepatikana
 
Wee nae bana usituchoshe hii stori ni yako

Rafiki rafiki this rafiki vile
 
Hivi kuna mwananke wa peke yako dunia hii mmhm sijui,mtu kichwa kinapata moto kabisa😊
 
Tunajua wewe ndo mhusika mkuu Ila umetuzuga eti Ni kiss Cha rafiki yako.
Sema ukweli tukushauri vizuri bana.
 
Jamaa yako ni kiazi mbatata , huyo mwanamke kamsaidia Sana huyo jamaa yako aisyejielewa , unakaa na binti miaka mitatu hujamuoa unamuita mpenz , subir wenzako wakujazie mimba ndo utaelewa
 
Kwa ulivyoeleza kila kitu kinagaubaga..

No story Mob, huyo jamaa aliechapiwa ni wewe.
 
Kwanini usishabikie Yanga tu ufurahi uachane na hayo mastress! Kha!
 
Kumbe ndio muoga hivyo wa maumivu ya mapenzi, masikini. Sasa ungekichezea kama mimi ingekuwaje? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe ndio muoga hivyo wa maumivu ya mapenzi, masikini. Sasa ungekichezea kama mimi ingekuwaje? [emoji23][emoji23][emoji23]
😀😀😀Sikuwah kuwa na experience before a maumivu ya aina hiyo sikia tu Kwa majirani inauma sana 😂
 
maumivu ya usaliti wa kuona kabisa ni mmbaya sana hausahuliki kirahisi. ila naamini nitakapopata mpenzi sahihi maumivu yataisha kukumbuka hiyo situation

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…