Aisee nimeamini wanawake ni watu wa hovyo

Aisee nimeamini wanawake ni watu wa hovyo

Kwanza jukwaa hili siyo jukwaa la mambo ya mapenzi peleka jukwaa la mapenzi mzee hili tukio ni lake maana mpaka amesahau jukwaa la kupeleka hii story
 
,,,,ndipo jamaa alipo vaa bukta na kutoka sebuleni maana (sponsor) yemwenyewe alichanganyikiwa, wakasalimiana waka tambulishana na majina ndipo (sponsor) akaanza kusimulia kuhusu yule demu

yakwamba walifahamiana sokoni na Dem alimwambia hana mtu japo kua amesha kutana na meseji za kutatanisha kupitia ile namba alioamua kuichukua maana alinambia wewe ni x wake eti huwa unasumbua nk,

na akaeleza kuhusiana na vitu vyote vilivyomo mle ndani ni yeye (sponsor) alimnunulia na alikua ameshaanza kusikia kwamba kuna mwanaume huwa anakuja pale, lakini alimuuliza Dem akadai anae kujaga pale ni kakake na mambo kibao

aisee jamaa anakwambia haya mambo tuyasikie kwa wengine yanaumiza japo kua wali share (sponsor) aliamua kwenda zake akasema angerudi kesho yake kuja kudai vitu vyake, alivyoondoka demu ali rudi kwa uoga na kukuta rafiki amejiinamia akiugulia maumivu na maswali yasiokua namajibu .
dem alifika na kumuangukia miguuni akilia eti ni shetani alimpitia mara nimarafiki walimshauli jamaa akaamua kumuuliza ni wapi alipokosea mpaka akaamua kumfanyia vile nawakati mtaji yeye ndie alimpa, Dem hakumpa majibu ya kueleweka zaidi ya kulia lia tu na kuomba misamaha

na anasema ilesiku demu hakulala kwake alimfuata jamaa mpaka dukani akasema hatoki hata ampige auwe, jamaa anadai aliamua kulala nae dukani kwasababu hakutaka jujaza watu usiku ule na mpaka kuondoka alimuahidi wata yazungumza. anasema nimwanamke aliempenda sana na amewekeza muda na pesa lakini amepigwa za uso



#wazee hayo ndio yalio mkuta rafiki yangu naomba mawazo yakumshauli kwani maumivu anayo yapitia nimakubwa

mimi nimemwambia ampige chini
Dem alipotaka atoke kwao naye akazingua ndo alipompoteza dem wake.

Shida ina chanzo hiiq
 
habari zenu

niende kwenye mada direct inayo muhusu rafiki yangu mmoja wa faida sana, tumekua tuki badirishana mawazo ya kimaisha , mahusiano nk,

huyu rafiki yangu leo ameniambia kitu ambacho kimenifanya nije ku share nanyi, iko hivi huyu jamaa (rafiki) yangu alikua na mpenzi wake wa muda mrefu sio chini ya miaka 3 wakiwa kwenye mahusiano, jamaa anadai huyo demu wake walijuana 2020 na ni mwanamke aliekua ametulia na kuyajua maisha. kwasababu anadai wamepitia vipindi tofauti tofauti (milima na mabonde) jamaa ana jishugulisha na biashara ya duka haya maduka ya mangi, anadai kipindi anakutana na huyo Dem alikua amechangia biashara (duka) na jamaa fulani,,,,,,,,,,,,,

badae biashara iliyumba ikabidi wauze kwa hasara wakagawa na yeye kuamua kujitafuta, wakati wote huo yule demu wake hakumtupa alikua anamtia moyo sana na anadai kama isingekua yeye huenda asingerudi barabarani kwasababu kuna vitu vingi amemsaidia sana mpaka akamshukuru mungu kumletea wife matirio, ikabidi ampe na hela ya mtaji ili na yeye achakalike wasaidiane kuendesha maisha maana alikua na akili ya biashara,

biashara alioichagua binti (demu wa jamaa) niya kuuza mitumba alikua akilangua ma baloo kabisa.
sasa changamoto ili anza baada ya kumwambia jamaa ya kwamba anataka kuhama kwao ili ajitegemee jamaa akauliza kwanini, demu akadai eti kwao kuna dada zake kadhaa wamezalia pale na huwa wana zinguana mara kwa Mara bla bla zikawa nyingi. jamaa ikabidi amwambie asubiri kuna mambo anaweka sawa ili afike kwao na taratibu za kuoana zifuate demu akakubali ila kishingo upande, basi maisha yakaendelea ikafika kipindi wakawa hawaonani zaidi ya kuongea kwenye simu kutokana na ubize wa maisha

sasa sikumoja akashangaa demu ana mwambia ameamua kupanga baada yakuona maisha ya kwao yame mshinda kwani ugomvi hauishi na dada zake nk
jamaa akasema kwasababu ameamua mwenyewe basi haina jinsi, maisha yanaendelea jamaa ikawa kila akimaliza kazi jioni anapita kwa binti wanafanya yao anarudi kulala dukani kama kawaida. sasa akawa anashangaa kila akienda anakuta mazingira yamebadirika mara kanunua Tv, radio ,sofa, ktanda na godoro. mmmh jamaa akawa anashangaa inawezekanaje kila akiuliza dem ana mjibu anacheza vikoba eti kila ikifika zamu yake ndio hununua hivo vitu ila akaanza kuhisi huyu dada atakua ana mwanaume mwengine.

basi bwana siku moja ametulia dukani ana hudumia wateja akapokea simu ilikua ni namba ngeni, huyo mpigaji aka jitambulisha majina yake na kwenda kwenye mada iliyofanya ampigie akamuuliza kama anamjua fulani tumuite rose sio jina harisi(yaani demu wake) anasema kabla yakumjibu akawa amesha hisi jambo akaamua kukata simu maana kuna mteja alikuwa ana muhudumia, na hapo hapo akapokea ujumbe whatsapp jamaa aliejitambulisha akidai rose (mpenzi wa jamaa) ni wake kwamba hii namba niliona kwenye simu ya rose nikaichukua na mambo kibao
20230607_085245.jpg



Medali yao imepatikana
 
Wee nae bana usituchoshe hii stori ni yako

Rafiki rafiki this rafiki vile
 
Hivi kuna mwananke wa peke yako dunia hii mmhm sijui,mtu kichwa kinapata moto kabisa😊
 
Tunajua wewe ndo mhusika mkuu Ila umetuzuga eti Ni kiss Cha rafiki yako.
Sema ukweli tukushauri vizuri bana.
 
Habari zenu

Niende kwenye mada direct inayo muhusu rafiki yangu mmoja wa faida sana, tumekua tuki badirishana mawazo ya kimaisha , mahusiano nk,

Huyu rafiki yangu leo ameniambia kitu ambacho kimenifanya nije ku share nanyi, iko hivi huyu jamaa (rafiki) yangu alikua na mpenzi wake wa muda mrefu sio chini ya miaka 3 wakiwa kwenye mahusiano, jamaa anadai huyo demu wake walijuana 2020 na ni mwanamke aliekua ametulia na kuyajua maisha. Kwasababu anadai wamepitia vipindi tofauti tofauti (milima na mabonde) jamaa ana jishugulisha na biashara ya duka haya maduka ya mangi, anadai kipindi anakutana na huyo dem alikua amechangia biashara (duka) na jamaa fulani.

Badae biashara iliyumba ikabidi wauze kwa hasara wakagawa na yeye kuamua kujitafuta, wakati wote huo yule demu wake hakumtupa alikua anamtia moyo sana na anadai kama isingekua yeye huenda asingerudi barabarani kwasababu kuna vitu vingi amemsaidia sana mpaka akamshukuru mungu kumletea wife matirio, ikabidi ampe na hela ya mtaji ili na yeye achakalike wasaidiane kuendesha maisha maana alikua na akili ya biashara,


Biashara alioichagua binti (demu wa jamaa) niya kuuza mitumba alikua akilangua ma baloo kabisa.

Sasa changamoto ili anza baada ya kumwambia jamaa ya kwamba anataka kuhama kwao ili ajitegemee jamaa akauliza kwanini, demu akadai eti kwao kuna dada zake kadhaa wamezalia pale na huwa wana zinguana mara kwa mara bla bla zikawa nyingi. Jamaa ikabidi amwambie asubiri kuna mambo anaweka sawa ili afike kwao na taratibu za kuoana zifuate demu akakubali ila kishingo upande, basi maisha yakaendelea ikafika kipindi wakawa hawaonani zaidi ya kuongea kwenye simu kutokana na ubize wa maisha


Sasa sikumoja akashangaa demu ana mwambia ameamua kupanga baada yakuona maisha ya kwao yame mshinda kwani ugomvi hauishi na dada zake nk

Jamaa akasema kwasababu ameamua mwenyewe basi haina jinsi, maisha yanaendelea jamaa ikawa kila akimaliza kazi jioni anapita kwa binti wanafanya yao anarudi kulala dukani kama kawaida. Sasa akawa anashangaa kila akienda anakuta mazingira yamebadirika mara kanunua tv, radio ,sofa, ktanda na godoro. Mmmh jamaa akawa anashangaa inawezekanaje kila akiuliza dem ana mjibu anacheza vikoba eti kila ikifika zamu yake ndio hununua hivo vitu ila akaanza kuhisi huyu dada atakua ana mwanaume mwengine.

Basi bwana siku moja ametulia dukani ana hudumia wateja akapokea simu ilikua ni namba ngeni, huyo mpigaji aka jitambulisha majina yake na kwenda kwenye mada iliyofanya ampigie akamuuliza kama anamjua fulani tumuite rose sio jina harisi(yaani demu wake) anasema kabla yakumjibu akawa amesha hisi jambo akaamua kukata simu maana kuna mteja alikuwa ana muhudumia, na hapo hapo akapokea ujumbe whatsapp jamaa aliejitambulisha akidai rose (mpenzi wa jamaa) ni wake kwamba hii namba niliona kwenye simu ya rose nikaichukua na mambo kibao
Jamaa yako ni kiazi mbatata , huyo mwanamke kamsaidia Sana huyo jamaa yako aisyejielewa , unakaa na binti miaka mitatu hujamuoa unamuita mpenz , subir wenzako wakujazie mimba ndo utaelewa
 
Kwa ulivyoeleza kila kitu kinagaubaga..

No story Mob, huyo jamaa aliechapiwa ni wewe.
 
Kwanini usishabikie Yanga tu ufurahi uachane na hayo mastress! Kha!
 
Tunajua ni wewe Polesana mapenz hayatabiriki
Bora uachane na mtu ulimpenda Kwa makosa yoyote lakin sio usaliti na ukaushuhudia haielezek
Mm huko nyuma sikuwahi kujua kama usaliti unauma imenitokea mara moja aisee inauma sana ni zaidi ya mwak lakini maumivu hayapoi kunawakat unasahau Kuna siku yanaibuka moyo unauma sana omba Mungu akupe moyo wa uvumilivu na kuamini hakuwa wako Bora umejua ukweli move on kumpenda kwako hakuna maana kwake usilazimishe inauma ila yataisha maisha yataendelea.
Kumbe ndio muoga hivyo wa maumivu ya mapenzi, masikini. Sasa ungekichezea kama mimi ingekuwaje? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe ndio muoga hivyo wa maumivu ya mapenzi, masikini. Sasa ungekichezea kama mimi ingekuwaje? [emoji23][emoji23][emoji23]
😀😀😀Sikuwah kuwa na experience before a maumivu ya aina hiyo sikia tu Kwa majirani inauma sana 😂
 
Tunajua ni wewe Polesana mapenz hayatabiriki
Bora uachane na mtu ulimpenda Kwa makosa yoyote lakin sio usaliti na ukaushuhudia haielezek
Mm huko nyuma sikuwahi kujua kama usaliti unauma imenitokea mara moja aisee inauma sana ni zaidi ya mwak lakini maumivu hayapoi kunawakat unasahau Kuna siku yanaibuka moyo unauma sana omba Mungu akupe moyo wa uvumilivu na kuamini hakuwa wako Bora umejua ukweli move on kumpenda kwako hakuna maana kwake usilazimishe inauma ila yataisha maisha yataendelea.
maumivu ya usaliti wa kuona kabisa ni mmbaya sana hausahuliki kirahisi. ila naamini nitakapopata mpenzi sahihi maumivu yataisha kukumbuka hiyo situation

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom