Na wewe unachakata kwani wats so special about uSasa demu unataka ule mbususu kavu na ushaambiwa anachakatwa na wauza mitumba unafanyaje hapo? Utauza tu mechi ukute demu mwenyewe wa kawaidaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe unachakata kwani wats so special about uSasa demu unataka ule mbususu kavu na ushaambiwa anachakatwa na wauza mitumba unafanyaje hapo? Utauza tu mechi ukute demu mwenyewe wa kawaidaaa
Yanga bingwa uko.
viru!!Kulangua ni kununua viru kwa bei ndogo na kuja kuuza kwa bei kubwa bro, kifupi demu wa mchizi alikuwa ana point mzigo hapo sokoni.
Yanga bingwa uko.
🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓🪓📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌Wa hovyo kama mamako.
Kujenga watuWatoto wapo likizo sasa ujenzi na mifumanizi wap na wap
au ujenz unaingi apo kweny vitu vya ndani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakati amawaza kimoyo moyo kua anaweza mfua huyo sponsa(mwembamba),huyo jamaa yako alikua uchi?
Pole sana mkuuTunajua ni wewe Polesana mapenz hayatabiriki
Bora uachane na mtu ulimpenda Kwa makosa yoyote lakin sio usaliti na ukaushuhudia haielezek
Mm huko nyuma sikuwahi kujua kama usaliti unauma imenitokea mara moja aisee inauma sana ni zaidi ya mwak lakini maumivu hayapoi kunawakat unasahau Kuna siku yanaibuka moyo unauma sana omba Mungu akupe moyo wa uvumilivu na kuamini hakuwa wako Bora umejua ukweli move on kumpenda kwako hakuna maana kwake usilazimishe inauma ila yataisha maisha yataendelea.
Asante sana yameshapita maisha lazima yaendelee tu hakuna namnaPole sana mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo jamaa ni wewe,acha kuzunguka!
Hahaha. To yeye amesema, ila nilichokiona hapo ni marudio tu ya yale ambayo yapo mtaani. Nawaambiaga watu kila mara hakuna mwanamke au mwanaume wa pekee yako. Kitu ningeweza mshauri ni kutemana na huyo dada na aachane na ishu za kuoa badala yake ajikite kutafuta pesa. Ndoa zenyewe za siku hizi ni ndoa basi, tunafurahisha wanawake wetu ila hakuna cha maana mwanaume ananufaika akifunga ndoa. Mwanaume akifunga ndoa anaka ameuza uhuru wake, ndoto zake na mipango pia. Kama ulikuwa na ndoto, basi kabla ya kuoa itimize kwanza, ukioa hutaweza kutimiza hayo kwani baada ya kuoa hutakua unajihesabu wewe kama bali unajihesabu na midomo unayolisha.Sema Nini,sijui kwanini,yani sijui nisemeje mwee? .... mwanaume akiwa na mkwanja hata Kwa bed haishi hamu. Anyway, mwambie asimwache haraka ahakikishe amemla sana then atembee....game la hasira ni very sweet
NuktaNawaambiaga watu kila mara hakuna mwanamke au mwanaume wa pekee yako.
Ahsante.. In jux's voice [emoji3]Nukta