Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Huko kwenye page ya Yanga ni mwendo wa malalamiko ya waliolipia VIP na nyinginezo, uwanja umefungwa tangu saa 12 jioni baada ya watu wa bure 'kuteka' uwanja.
Waliolipia wakapambana mwisho wakaishia kula virungu, nia njema ya Yanga imewaponza, walisahau watanzania wanavyopenda mtelezo.
Anyways nasubiri Yanga wafunge goli simu ziite, wanangu wa Temeke waliongia bure wanazisubiri, tayari wana wateja kitaa washalipa advance