Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Kuna uwezekano mkubwa. Wakaanza kuwauzia waliowahi siti za kulipia. Wameuza siti mara mbili.Kwa hiyo unasemaje 🐸🐸ni wezi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna uwezekano mkubwa. Wakaanza kuwauzia waliowahi siti za kulipia. Wameuza siti mara mbili.Kwa hiyo unasemaje 🐸🐸ni wezi?
So mwizi ni askari wa getini au Ali Kamwe?Kuna uwezekano mkubwa. Wakaanza kuwauzia waliowahi siti za kulipia. Wameuza siti mara mbili.
NimekuelewaBure ni gharama
Kamwe. Wao si ndiyo wenyeji. Si ndiyo waliouza tiketi.So mwizi ni askari wa getini au Ali Kamwe?
Daah, njaa mbaya sana wameiba hela mwezi wa RamadhaniKamwe. Wao si ndiyo wenyeji. Si ndiyo waliouza tiketi.
Sio kweliWanaolalamika ni 🦁 waliovalia mamelodi😅