Aisee watanzania tunapenda bure! Waliolipia wako nje, wa mtelezo wameshika nafasi

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Huko kwenye page ya Yanga ni mwendo wa malalamiko ya waliolipia VIP na nyinginezo, uwanja umefungwa tangu saa 12 jioni baada ya watu wa bure 'kuteka' uwanja.

Waliolipia wakapambana mwisho wakaishia kula virungu, nia njema ya Yanga imewaponza, walisahau watanzania wanavyopenda mtelezo.

Anyways nasubiri Yanga wafunge goli simu ziite, wanangu wa Temeke waliongia bure wanazisubiri, tayari wana wateja kitaa washalipa advance

 
Ushaambiwa kiingilio Bure ww unaenda kulipia tukueleweje ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…