Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,945
- 4,827
Inakuwaje WanaJF
Kutokea January ya mwaka huu nikasema ngoja niingie life la kijiweni duh! Aisee
Watu wanatukana vibaya to the maximum yani mpaka mimi najishtukia hawa washkaji wananiona wa kuja kweli yani. Maana ni mtu nimepoa tu responds zangu kawaida tu
Yani matusi hadi fujo, story zinazotawala matusi na kunywa pombe ubishani usio na maana yoyote duh! hadi nashikwa na butwaa
Hivi ni normal au nimevamia sehemu sio?