Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Tujadili nini sasa kakaLengo sio kujadili matusi

Siyo poaUmetuacha gizani mkuu
sio kweli wazungu ndio hatari mazafanta, wotizefaka, na faki nyingiYaani waTanzania kujenga hoja hatuwezi kabisa tunaona matusi ndio siraha kubwa sana ukiingia kwenye social media mfano facebook ,ukichangia mjadala mfano ktk jukwa la BBC kiswahili yaani lazima kama mmoja wapo atakua hajapendezwa na comment yako utaambulia tusi,nami nilikua najiuliza kama wewe ina maana sisi waTanzania ni mabingwa wa matusi? Au kuna kitu tulikosa kupitia darasani?
Mfano ukiingia ktk mitandao ya aljazeera,cnn,bbc english na majukwaa mengine ya kimataifa ya lugha ya kiingereza uko hata ukachangia mjadala ambao unawaumiza wapinzani wako huwezi muona akakutukana.chukulia vita ya gaza hata ukicomment kwamba unaisupport Israel wala hakuna atakaekutukana ,sasa ucomment unaisapoti Israel kwa kiswahili kwenye majukwa ya kiswahili utapata matusi hadi ukome.
Ni mchumba wa modWewe ni mod bila shaka
Maisha magumu yanaleta hasira bila kujijuaInakuwaje WanaJF
Kutokea January ya mwaka huu nikasema ngoja niingie life la kijiweni duh! Aisee
Watu wanatukana vibaya to the maximum yani mpaka mimi najishtukia hawa washkaji wananiona wa kuja kweli yani. Maana ni mtu nimepoa tu responds zangu kawaida tu
Yani matusi hadi fujo, story zinazotawala matusi na kunywa pombe ubishani usio na maana yoyote duh! hadi nashikwa na butwaa
Hivi ni normal au nimevamia sehemu sio?
Mkuu kumbuka hapo ni kijiweni sio ukweni hapo.Inakuwaje WanaJF
Kutokea January ya mwaka huu nikasema ngoja niingie life la kijiweni duh! Aisee
Watu wanatukana vibaya to the maximum yani mpaka mimi najishtukia hawa washkaji wananiona wa kuja kweli yani. Maana ni mtu nimepoa tu responds zangu kawaida tu
Yani matusi hadi fujo, story zinazotawala matusi na kunywa pombe ubishani usio na maana yoyote duh! hadi nashikwa na butwaa
Hivi ni normal au nimevamia sehemu sio?
GENTAMYCINEMchokoze member mmoja anaitwa Gentamycine anayo ya kutosha

Njoo @MInakuwaje WanaJF
Kutokea January ya mwaka huu nikasema ngoja niingie life la kijiweni duh! Aisee
Watu wanatukana vibaya to the maximum yani mpaka mimi najishtukia hawa washkaji wananiona wa kuja kweli yani. Maana ni mtu nimepoa tu responds zangu kawaida tu
Yani matusi hadi fujo, story zinazotawala matusi na kunywa pombe ubishani usio na maana yoyote duh! hadi nashikwa na butwaa
Hivi ni normal au nimevamia sehemu
Njoo umjibu huyu Ma MshuzaInakuwaje WanaJF