Yaani waTanzania kujenga hoja hatuwezi kabisa tunaona matusi ndio siraha kubwa sana ukiingia kwenye social media mfano facebook ,ukichangia mjadala mfano ktk jukwa la BBC kiswahili yaani lazima kama mmoja wapo atakua hajapendezwa na comment yako utaambulia tusi,nami nilikua najiuliza kama wewe ina maana sisi waTanzania ni mabingwa wa matusi? Au kuna kitu tulikosa kupitia darasani?
Mfano ukiingia ktk mitandao ya aljazeera,cnn,bbc english na majukwaa mengine ya kimataifa ya lugha ya kiingereza uko hata ukachangia mjadala ambao unawaumiza wapinzani wako huwezi muona akakutukana.chukulia vita ya gaza hata ukicomment kwamba unaisupport Israel wala hakuna atakaekutukana ,sasa ucomment unaisapoti Israel kwa kiswahili kwenye majukwa ya kiswahili utapata matusi hadi ukome.