BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
π€£π€£π€£π€£ nisamehe wizo jamanWizo acha matusi nitakuitia mods..!! π
mic u too my wifiiiiiiWizzoo ulipotelea wapi? Mic u sanaa.
Woyoooomic u too my wifiiiiii
Ulipotea, ulikuwa unapika futari πΉπ€£π€£π€£π€£ nisamehe wizo jaman
ππππIngia kwenye daladala ukiona kimya we sema tu "ila serikali yetu" halafu kaa kimya utasikia tu wachangiaji.
Matusi kama yote.
Hasa uswazi, kuna matusi kule ni noumaa.Mikoa ya pwani inaongoza huku hata nyumbani lugha za matusi ni kawaida hata watoto hawashangai
Huku ni lugha za kawaida.Hasa uswazi, kuna matusi kule ni noumaa.
Ila napenda maisha ya uswazi, nisiwe mnafiki.Huku ni lugha za kawaida.