Aisee yani siku hizi kuivuka 65 ni kama special favour flani hivi.

Utasikia kaugua ghafla, mara alipata mshituko akiwa kazini, mara kaanguka akiwa bafuni, mara alichelewa kumeza dawa zake za kisukari, etc

ukiuliza umri unakuta wengi ni between 55-65.

MORE LIFE.
Tumevuka mkuu
 
Dhambi zimedidi
 
Umenikumbusha kifo cha
Mafuru
Ndungulile
Etc
 
Utasikia kaugua ghafla, mara alipata mshituko akiwa kazini, mara kaanguka akiwa bafuni, mara alichelewa kumeza dawa zake za kisukari, etc

ukiuliza umri unakuta wengi ni between 55-65.

MORE LIFE.
Hawa wageni wasioweusi wana mengi wanafanya ila itatuchukua muda kuyaelewa nisemayo
 
Utasikia kaugua ghafla, mara alipata mshituko akiwa kazini, mara kaanguka akiwa bafuni, mara alichelewa kumeza dawa zake za kisukari, etc

ukiuliza umri unakuta wengi ni between 55-65.

MORE LIFE.
Itabidi tuchague Rais mwenye umri chini ya miaka 60!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…