Aisee yani tulikopa mpaka nchi ya IRAQ na tuna daiwa pesa

Aisee yani tulikopa mpaka nchi ya IRAQ na tuna daiwa pesa

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Hii nchi hipo siku tutasikia somalia tulienda kukopa pesa.

Hapa nacho kiona tuna subiri majini nao waje kuleta shutuma zao nao walikopwa na huyu mama pesa.

Hivi tumefikia steji mbaya sana na pesa zote zimefanya nini ?.
 
Kila nchi hukopa wala usishangae jambo la kawaida
 
Kila nchi hukopa wala usishangae jambo la kawaida
Watu hatushangai kukopa , ila tunachosahangaa ni kwamba hizo pesa tulizokopavtumefanyia nini?

ugumu wa maisha ndio umeongezeka mara dufu

miradi mikubwa ya kimkakati karibu yote imesimama

mfumko wa bei ndio usiseme

yaan hakuna chochote tulichokifanya kutokana na hiyo mikopo zaidi ya kuskia tu kwamba taasis zote zilizofanya ufisad zitajwe hadharan ili zione aibu

hili li nchi ni la ajabu sana
 
Huo mirandi mfano sgr inaendelea mkuu
 
Back
Top Bottom