The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Bora hata wewe angalau hiyo sabuni utafulia kuliko mleta mada.Umenikumbusha nilivyouziwa simu ya mche wa sabuni 2005
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora hata wewe angalau hiyo sabuni utafulia kuliko mleta mada.Umenikumbusha nilivyouziwa simu ya mche wa sabuni 2005
Yule tapeli nilimkubali ana mbinu, kikubwa usijadiliane naye. Mimi nijiona namumudu, akanipiga dk za jioooniBora hata wewe angalau hiyo sabuni utafulia kuliko mleta mada.
Asingetapeliwa ungejifunza wapi?😂We jamaa ni fala🤣🤣.
Unatapeliwa vipi kibwege hivyooo!?
Haya mambo yapo, yani mwenzako akikuhadithia unaweza kumuona mjinga ila omba yasikukuteUmenikumbusha nilivyouziwa simu ya mche wa sabuni 2005
Appreciate , hii stage hairukwi kirahisiHaya mambo yapo, yani mwenzako akikuhadithia unaweza kumuona mjinga ila omba yasikukute
Wanakuwa na dawa mkuu.. alichokosea ni kuanza kumsikiliza.. Ila amejifunza 😀Wengi tushatapeliwa lakini wewe umetapeliwa kiboya sana
Hahaaa......sio uso ty hata akili zimezubaauna uso wa kuzubaa?
kipindi hicho haujawa hasibu la viwango ulikua mtu poriUmenikumbusha nilivyouziwa simu ya mche wa sabuni 2005
Nimewahi mkuu ila kitambo kidocho🤣🤣🤣.Asingetapeliwa ungejifunza wapi?😂
Kila pale unapojiona mjanja ujue kuna mtu alivalishwa mzigo ndio wengine wakasanuka . Bila shaka hata wewe umewahi kuibiwa /kutapeliwa
Mtakuja muombwe macho na mtoe.🤣🤣🤣🍑Siku moja nipo kwenye mizunguko yangu ya hapa na pale maeneo ya Ubungo nikakutana na jamaa mmoja baada ya kuzungumza nae kwa muda akaniambia nimelogwa na kuanza kuniambia mambo ya nyumbani kwetu, akaniambia kama huamini tafuna hili karatasi nikatafuna nikatema nywele Daah si nikaanza kumuamini aisee
Akaniambia nimkabidhi pesa zangu nilikuwa na Sh elfu 30 na simu akaniambia chukua hii dawa nenda mpaka pale kituo cha mwendokasi usigeuke nyuma wala kuongea na MTU ukifika itupe pale.
Ile nafika kituo cha mwendokasi akili inarudi kwamba huyu jamaa nimemuamini VP kumuachia simu yangu na pesa, nikageuka nyuma kumcheki simuoni nikaamua kurudi pale kilichofuata ni majonzi na kilio nimetapeliwa
Sitaisahau simu yangu ya Tecno spark 4 asee, niliumia sana siku hiyo
Anakuwa na bahasha mbili,moja INA simu halisi nyingine INA sabuni.Anakupa simu halisi unaishka ,unaitest iko pa,atahakikisha mnashindwana bei ili umrudishie ile simu.Ukishampa bahasha yenye simu anajifanya kukubali offer ya ko.Unampa pesa anakukabidhi bahasha yenye sabuni.Kwakuwa ameishakupanga kwamba ni ya wizi anakuambia uondoke haraka sana pale na kwakuwa unaamini umenunua kwa pesa ndogo unaondoka faster,ukija check unakuta umemnunua Sopu kwa million mia.Ukirudi ulipomuacha humkuti.Imeisha hiyooooYule tapeli nilimkubali ana mbinu, kikubwa usijadiliane naye. Mimi nijiona namumudu, akanipiga dk za jioooni
Wewe na mleta mada wote wasukuma. Inasemekana ni rahisi zaidi kumtapeli msukuma. Ya kweli haya mkuu?Mimi juzi juzi tu nimepigwa 50k nilikuwa nimekaa pale mwanyamala kwa kopa karibu Na kituo kidogo cha polisi nikitekeleza majukumu yangu...wakaja madogo watatu wamevaa tisheti za tigo,wakaniambia kaka tuna huduma ya kubadirisha laini yako iwe 5g nikawaambia sihitaji wakaniambia ni bure nikawaambia poa wakaniomba laini ya tigo (nalifanya makosa makubwa kuwapa laini yangu Na namba yangu ya muda) walikuwa Na Ile mashine ya kusajilia kumbe wale wapumbavu wakiisha download apps ya whatsup kwenye Ile mashine Na muda huohuo Wana namba yako ya nida inakuwa rahisi kupata namba ya Siri..... Muda kidogo naona meseji za miamala zinatembea kwenye simu yangu kumbe jamaa wanahamisha tu kupitia Ile mashine..
Hapo nimemaliza fomu 4. Nimekuja Dar kusoma pre form 5 nikatamani nirudi na simu ya GPS kijijini. Yule muhuni ili kunivuruga akili akanionyesha picha za X akanambia mwanangu utaenjoy sanakipindi hicho haujawa hasibu la viwango ulikua mtu pori
Mimi ndio ni msukuma wa butundwe ,Geita..Una swali lingine?Wewe na mleta mada wote wasukuma. Inasemekana ni rahisi zaidi kumtapeli msukuma. Ya kweli haya mkuu?
Hapo msukuma ulikaribishwa mjini. Umekuja lini?Mimi ndio ni msukuma wa butundwe ,Geita..Una swali lingine?
Mwamba sufiani nisie Na kitengo maalum, nikikutaka nakupata muda wowote ule halafu nakubonyeza kizenjiWewe na mleta mada wote wasukuma. Inasemekana ni rahisi zaidi kumtapeli msukuma. Ya kweli haya mkuu?