Aiseee maisha haya; Nimelima ekari 2, nimevuna gunia 6 tu

Aiseee maisha haya; Nimelima ekari 2, nimevuna gunia 6 tu

Alafu kuna kipindi nilimsikia Anthony mavunde kipindi akiwa naibu waziri wa kilimo akisema vijana badala ya kubeti waelekeze nguvu zao kwenye kilimo! Wakati kulima kwenyewe ndio sawa na kubeti kama hivyo mwamba kaweka mkeka wa ekari 2 return ikawa gunia 6 [emoji23][emoji23][emoji23]
Aache ubunge na uwaziri akalime
Atuoneshe mfano

Ova
 
Back
Top Bottom