heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Thubutuuu..Aache ubunge na uwaziri akalime
Atuoneshe mfano
Ova
Hongera mkuu, kuna wengine hawajapata kabisa. Kulingana na mwaka husika. Kwa mwaka huu mvua zilizindi sanaa. Mwakani nayo ni siku lima tenaaa.Nilikuwa nimelima mahindi ekari 2, Jana nimeenda kuvuna haya mahindi nimempata gunia 6.
Nimeagiza Bajaji/ Toyo la mizigo kuja kubeba haya magunia 6 ya mahindi ambayo bado sijayapukuchua toka kwenye magunzi.
Cha ajabu kwangu ni ajabu bajaji/ Toyo limefika kijijini kuna zuio la mtendaji wa kijiji anaomba ushuru wa Mazao yangu ambayo ni chakula cha nyumbani kwangu
Mama afungue mipaka, mazao yapande bei. Weka storeWapi huko gunia 80,000 nilete mahindi nipige hela,huku ni sh 42,000
Amen🙏🙏.. Mungu ninayemwamini hajawahi kuniacha, atanisimamia na kwenye hiliNakutakia mafanikio mema. Bora ufunge kwaresma hii
Dah hapo kweli kuna balaa.Umeambiwa ni gunia 6 hayajapukuchuliwa,
Yakipukichuliwa ni gunia 3hv,
Itakuwa valiovuna, walimchakachua.
Kwako faida unaipataje? Maana mbolea lazima ununue kwa money, vibarua n.kkilimo ukitazama money one huwezi pata faida
Hizo gunia 6 zenyewe unapigia hesabu hazijapukuchuliwa hapo wastani ni gunia 36 mara 80,000 unapata 480,000.
Kilimo ni umasikini.
Embue weka ghalama ulizotumia.
Hii kitu haitaki kukurupuka,kilimo kinahitaji utulize sana ubongo wako kabla ya kuanza...6 mara 80,000 unapata 480,000.
Kilimo ni umasikini.
Embue weka ghalama ulizotumia.
vizuri sana:-Kwako faida unaipataje? Maana mbolea lazima ununue kwa money, vibarua n.k
Motivation speaker wanatukosea muda mwingine hawatuambii ukweliHuwa siwa sikilizagi wale wanakwambia heka 1 ukilima sawa na faida ya milioni 10. Changamoto za kila unachofanya ni wewe
Hayo ukipukuchua utapata labda junia moja na robo..magunia 6 ya mahindi ambayo bado sijayapukuchua toka kwenye magunzi.
Umemfanyia nini mkuu?Sorry ana hitaji USHURU WA MAZAO siyo udhuru kama nilivyoandika hapo juu samahani ni hasira Tu,, ila nikichomfanyia mtanisamehe