Aisha alipigwa, kuvuliwa nguo zote na Kurekodiwa, Na kwamba akisema kwamba alitekwa Picha zake zitavujishwa Mitandaoni na kumuua

Mama Ni Jembe.....na kadiri anavyowasabua nguvu yao ya kuua inapungua...kwa Jina la Mwenyezi Mungu hawataweza.

She survived to tell the tale.
 
Wanatekana wenyewe hao kuleta fitna, pattern inaonesha wanaotekwa chadema ni Waislam tu. Kwanza Mohamed, sasa Aisha.
Mrembo,
Wewe naye unaungana na watesi wa wananchi, watekaji na wauaji kwa gia ya udini na uongo?!

Kwani wametekwa wawili tu?

Kwa mfano, wafuasi wa Chadema, FRANK MBISE na DEUSDEDIT SOKA waliotekwa karibuni ni wa dini gani?!!

 
Viongozi wa dini walivyo wanafki wako kimya. Wakisikia Chadema wanataka kuandamana kupinga uhuni huo wanaibuka na kuanza kuhubiri amani. Mambo kama hayo yanawagawa watanzania na kujengeana chuki kwa sababu za kutofautiana mitazamo ya kisiasa tu.
Wapuuzi sana
 
Huyu mama kama anatudanganya haya ni Maigizo, yaani mtu upewe kipigo cha Nguvu leo uitishe press, uongee kwa namna ile, Chadema acheni drama hili igizo lenu mmfail..
 
Ccm wana Dhani ukisha ua ndio basi tena kumbe wanajidanganya kufa bado sio mwisho wa maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…