Mama wa kikristo yeye ni sawa tu? Acheni kujipa utukifu nyie wavaa makobaziDuh
Kumrekodi mama wa Kiislam akiwa mtupu ni Dhambi mbaya Mno mbele ya maulana 🐼
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama wa kikristo yeye ni sawa tu? Acheni kujipa utukifu nyie wavaa makobaziDuh
Kumrekodi mama wa Kiislam akiwa mtupu ni Dhambi mbaya Mno mbele ya maulana 🐼
Tundu Lissu ni Answar Sunnah, Shia, Bohora au Ismailia?Wanatekana wenyewe hao kuleta fitna, pattern inaonesha wanaotekwa chadema ni Waislam tu. Kwanza Mohamed, sasa Aisha.
Kuna fitna kubwa inapikwa hapa.
Mama Ni Jembe.....na kadiri anavyowasabua nguvu yao ya kuua inapungua...kwa Jina la Mwenyezi Mungu hawataweza.Hapa ndipo Tanzania ya Nyerere ilipofikishwa na Watukufu aliowaachia ambao wamejipa Uungu Mtu, Ngoja tuone Mwisho wao.
================
Mwenezi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Aisha Machano, ambaye anadaiwa kutekwa na kuteswa na baadae kuokotwa kwenye pori la Kibiti, akizungumza tukio zima mara baada ya kuachwa porini Kibiti na kisha kujikuta Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mwananyamala ambapo alipatiwa matibabu.
Tukio hilo la kutekwa na kuokotwa kwa kiongozi huyo wa Baraza la Wanawake la Chadema Taifa, lilitokoa jana tarehe 19 Oktoba 2024, Kibiti mkoani Pwani na tayari jeshi la polisi limeshatoa taarifa ya kuanza kwa uchunguzi wa tukio hilo.
Soma Pia: Aisha Machano, Katibu mwenezi BAWACHA Taifa, alitekwa na kupigwa sana, ameokotwa porini akiwa na hali mbaya
Pia soma:Kuelekea 2025 - Aisha Machano, Katibu mwenezi BAWACHA Taifa, alitekwa na kupigwa sana, ameokotwa porini akiwa na hali mbaya
Mnafiki tu weweNi Kwa sababu wewe unaamini katika Siasa
Mimi nilivuka hizo level kitambo sana
4RAcha inyeshe
Alitekwa na nani Tundu Lissu?Tundu Lissu ni Answar Sunnah, Shia, Bohora au Ismailia?
Maulana ni nani?Duh
Kumrekodi mama wa Kiislam akiwa mtupu ni Dhambi mbaya Mno mbele ya maulana 🐼
😂😂😂Maulana ni nani?
Afu mlevi mmoja anakuja humu anasema nani kama mama..Duh
Kumrekodi mama wa Kiislam akiwa mtupu ni Dhambi mbaya Mno mbele ya maulana 🐼
Kama kusoma hujui hata picha nayo huoni? Au visungura vimeshakupofua macho?Lete ushahidi
Mrembo,Wanatekana wenyewe hao kuleta fitna, pattern inaonesha wanaotekwa chadema ni Waislam tu. Kwanza Mohamed, sasa Aisha.
Mbona kitambo tu rekodi ya jiwe imeshavunjwa.Zimebaki hatua chache watu wavunje rekodi za JIWE .
Allah amtie nguvu muhanga mama huyu aliyeonewa akiwa hana hata silaha.
Wapuuzi sanaViongozi wa dini walivyo wanafki wako kimya. Wakisikia Chadema wanataka kuandamana kupinga uhuni huo wanaibuka na kuanza kuhubiri amani. Mambo kama hayo yanawagawa watanzania na kujengeana chuki kwa sababu za kutofautiana mitazamo ya kisiasa tu.
Mnaamini amatekwa kweli?Chadema wapeni viongozi wenu ulinzi,acheni kukaa kiboya
Hata kwa Ukristo ni dhambi kubwa sanaDuh
Kumrekodi mama wa Kiislam akiwa mtupu ni Dhambi mbaya Mno mbele ya maulana 🐼