Aisha alipigwa, kuvuliwa nguo zote na Kurekodiwa, Na kwamba akisema kwamba alitekwa Picha zake zitavujishwa Mitandaoni na kumuua

Aisha alipigwa, kuvuliwa nguo zote na Kurekodiwa, Na kwamba akisema kwamba alitekwa Picha zake zitavujishwa Mitandaoni na kumuua

Huwa naamini Wanawake wa Kiisilamu siyo waongo. Nilidhani na wewe kama Muisilamu unaamini hivyo pia.
Mwanamke ni mwanamke tu
Akiwa muislam au sio muislam tabia ni moja na ndio maana ALLAH mtukufu akasema
"Hakika vitimbi vya wanawake ni vikubwa"
Lakini kwa shetani ALLAH mtukufu akasema
"Hakika vitimbi vya shetani ni dhaifu"

Ishini na wanawake kwa akili

Napinga unyanyasaji kwa namna yeyote ile
 
Hapa ndipo Tanzania ya Nyerere ilipofikishwa na Watukufu aliowaachia ambao wamejipa Uungu Mtu, Ngoja tuone Mwisho wao.
================

Mwenezi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Aisha Machano, ambaye anadaiwa kutekwa na kuteswa na baadae kuokotwa kwenye pori la Kibiti, akizungumza tukio zima mara baada ya kuachwa porini Kibiti na kisha kujikuta Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mwananyamala ambapo alipatiwa matibabu.

Tukio hilo la kutekwa na kuokotwa kwa kiongozi huyo wa Baraza la Wanawake la Chadema Taifa, lilitokoa jana tarehe 19 Oktoba 2024, Kibiti mkoani Pwani na tayari jeshi la polisi limeshatoa taarifa ya kuanza kwa uchunguzi wa tukio hilo.

Soma Pia: Aisha Machano, Katibu mwenezi BAWACHA Taifa, alitekwa na kupigwa sana, ameokotwa porini akiwa na hali mbaya

Pia soma:Kuelekea 2025 - Aisha Machano, Katibu mwenezi BAWACHA Taifa, alitekwa na kupigwa sana, ameokotwa porini akiwa na hali mbaya
Kwa hiyo ni ili Mtu apate Uongozi kuwafanyia wananchi hivi kweli? Mbona ni hatari sana.
 
Unadhani wewe uko salama kabisa huwezi tekwa? Yawezekana huwezi tekwa kisiasa lakini usidharau haya huwa yanajibiwa kabla ya mauti usije laumu kinywa
Wabingo maneno mengi, vitendo zero kama wewe!

Msikubali kutekwa kirahisi, pambana na watekaji.
 
🚮 🚮
Kwamba hao watekaji hawana akili wala weledi wa kufuatilia wanayemtaka?
Wanao weledi na Akili za kumfuatilia wanaye mtaka lakini huu mfumo wanao utumia kwa sasa inaonyesha kama vile wanatonywa kuwa kiongozi fulani mda fulani atakuwa mahali fulani na atakuwa na safari ya kwenda mahali fulani kwa hiyo wanakuwa na mda mzuri wakujipanga, utekaji wa huyu mama na wa Ali kibao ni Tofauti na wakina soka, na sativa kwani hawa walipigiwa simu
 
Wanatekana wenyewe hao kuleta fitna, pattern inaonesha wanaotekwa chadema ni Waislam tu. Kwanza Mohamed, sasa Aisha.

Kuna fitna kubwa inapikwa hapa.
wE FOX zinduka! matukio ya huyu dada ni kwa kuwa MCHENGERWA yupo huko kibiti! ndiye anayetembea na kikundi cha utekaji! ipo siku watabebwa ndugu zako we bibi roho mbaya ndio utajuta!

ipo siku nakuambia Mark my words! shuwaini
 
hakuna lolote, huyo kafata nini huko kibiti?

Ujinga tu.

Na huyo mwanamke ni mtu wa system siku nyingi, labda hajaisoma mipaka ya system.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Wanao weledi na Akili za kumfuatilia wanaye mtaka lakini huu mfumo wanao utumia kwa sasa inaonyesha kama vile wanatonywa kuwa kiongozi fulani mda fulani atakuwa mahali fulani na atakuwa na safari ya kwenda mahali fulani kwa hiyo wanakuwa na mda mzuri wakujipanga, utekaji wa huyu mama na wa Ali kibao ni Tofauti na wakina soka, na sativa kwani hawa walipigiwa simu
Kwa hiyo wakihitaji kukuteka wewe kama hakuna mtu wa "kuwatonya" watashindwa?

Je, yule kijana wa Mbeya huko aliyechoma moto picha ya sa100 akahukumiwa, akaswekwa ndani, akachangiwa faini akatolewa akawa huru. Baadaye wakamteka nyumbani kwao na kutoweka naye, ni wewe uliwatonya watekaji?
 
Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama ambaye ni rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yeye muheshimiwa hajawahi kudhuru mtu iweje vikosi vya usalama wa raia kidhuru raia ... ni mategemeo yetu rais atatoa maelekezo kwa vyombo vya usalama chini ya serikali ya chama dola kongwe CCM ...

View: https://m.youtube.com/watch?v=HFezooN_hMQ

ningeweka mambo wazi ila nitamharibia mhusika. mama ni muuaji na anabariki yanayotokea. siongei kama mnywa kahwa. naongea ukweli.
 
hakuna lolote, huyo kafata nini huko kibiti?

Ujinga tu.

Na huyo mwanamke ni mtu wa system siku nyingi, labda hajaisoma mipaka ya system.
we bibi ni bure. mambo ya kisiasa yanakupofusha akili. haijalishi awe wa chama gani huyo mama hakustahili alichofanyiwa. kama kuiba waibe bila kuwadhuru watu na kuwaua
.ndio uislam ulivyokuelekeza hivi?
 
Back
Top Bottom