Mbuli yaza
JF-Expert Member
- May 30, 2023
- 711
- 683
kama wanachunguza wewe hilo la ugoni umelitoa wapi?hatua zingechukuliwaje wakati badala ya kuripoti, maelezo tu yanajidhihirisha nalikuwa anasema uongo mtupu sasa polisi wanachunguza ngoja muone mnavyoumbuka