Aisha alipigwa, kuvuliwa nguo zote na Kurekodiwa, Na kwamba akisema kwamba alitekwa Picha zake zitavujishwa Mitandaoni na kumuua

Aisha alipigwa, kuvuliwa nguo zote na Kurekodiwa, Na kwamba akisema kwamba alitekwa Picha zake zitavujishwa Mitandaoni na kumuua

Aache kiherehere. Alipewa kanga kama zawadi akakipokea, Kisha anaenda kuichoma hadharani. Kama alikuwa haitaki angeichomea ndani mwake au akapigia deki. Sasa kiherehere Cha kujionesha Wacha akomeshwe. Tena amekomeshwa kidogo! KUMBAVU!!
Kumbe alifanya kashfa kwa serikali hadharani? Mhh jmn msiyatake wenyewe haya mambo fanyeni siasa safi harakati hazina maana hapa Tanzania
 
Tumeagiza vyombo vya dola vichunguze,sijawahi kuua mtu labda sisimizi.
 
Chadema hadi mjambe cheche ...niliwaambia msifurahie kifo cha jpm hadi mjue kama kauliwa au la ..tena niliwaonya kuhusu walio nyuma ya hicho kifo ila nyinyi mkawageuza marafiki ...nchi imetekwa nyara na Raia feki wapo.kuvuna ubilionea kwao mtanganyika ni sisimizi tu
Sioni utofauti wako na hao wengine waliokuwa na Magufuli.
Hapa unalalamikia CHADEMA "kufurahia" kifo cha Magufuli; lakini hao wenzako waliomo ndani ya CCM na ambao ndio hawa hawa wanaofanya maovu juu ya nchi hii unaona wao ni bora kuliko CHADEMA?
Hii ni akili gani hii!
 
Natangaza kukudharau moja kwa moja katika siku zako zote chache zilizosalia hapa duniani
HAPANA.
Utakuwa umekosea sana kumdharau kwa sababu ya maneno yake hayo yenye ujumbe muhimu sana kwenu kama chama.
Hata adui mara moja moja huwa anatoa msaada ukimwelewa anacho kifanya au kukisema.
Msipuuze ujumbe mnao pewa. Usomeni na kuuelewa maana yake ni ipi..
 
Pole yake ila Hawa Jamaa ndio wale walikuwa wanaimba SSH muuaji na wakachoma vitenge alivyovitoa?

Haya mambo Huwa wanaoyataka wenyewe Kwa Kushindwa kutumia akilalamika na busara
Kwa hiyo unakiri huyo mtu wa CHADEMA kaadhibiwa na Samia kwa kosa la kuchoma vitenge vyake!

Nikikueleza akili yako ni fupi sana hutaki kuelewa. Uchawa umekufanya upoteze akili yako kabisa?
 
Kwa hiyo unakiri huyo mtu wa CHADEMA kaadhibiwa na Samia kwa kosa la kuchoma vitenge vyake!

Nikikueleza akili yako ni fupi sana hutaki kuelewa. Uchawa umekufanya upoteze akili yako kabisa?
Sijui ila kama Hawa ndio walikuwa wanaimba hivyo na kuchana nguo Wacha wapate stahiki zao ,siwezi sympathise na watu wajinga ,hata Watoto hawafanyi hivyo.

Na wewe kuwa chawa ufaidi.
 
Sioni utofauti wako na hao wengine waliokuwa na Magufuli.
Hapa unalalamikia CHADEMA "kufurahia" kifo cha Magufuli; lakini hao wenzako waliomo ndani ya CCM na ambao ndio hawa hawa wanaofanya maovu juu ya nchi hii unaona wao ni bora kuliko CHADEMA?
Hii ni akili gani hii!
Tumia akili JPM alijua vema kuwa adui no .moja ni ccm ndiyo maana alikuwa tofauti na wanafiki wote ...waovu waliokuwa ndani ya ccm walimchukia na kuwatum8a chadema kupambana naye ...wenye akili tuliwakumbusha chadema watambue kwanini jpm anapigwa vita hadi na watu ndani ya ccm ...kwa kifupi chadema ni wapumbavu
 
Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama ambaye ni rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yeye muheshimiwa hajawahi kudhuru mtu iweje vikosi vya usalama wa raia kudhuru raia ... ni mategemeo yetu rais atatoa maelekezo kwa vyombo vya usalama chini ya serikali ya chama dola kongwe CCM ...

View: https://m.youtube.com/watch?v=HFezooN_hMQ

Kumbe hatakuwa hafahamu kwamba mauwaji yakitokea chini ya utawala wake yanayofanywa na watu wake yeye ndo mwajibikaj?

She probably doesn’t understand where the buck stops.😀🤦🏾‍♂️
 
Back
Top Bottom