Pre GE2025 Aisha Machano, Katibu mwenezi BAWACHA Taifa, alitekwa na kupigwa sana, ameokotwa porini akiwa na hali mbaya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mtu akikushinda Kwa hoja usimteke Bali apewe nafasi aonyeshe uongozi ili taifa lifaidike
 
Ndio Hawa walikuwa wanaimba SSH muuaji na wakachoma kanga Zenye jina lake?

Kuwahurumia watu wa hivi ni kutojihurumia kabisa,wanavuna walichopanda.
 
CCM ni wapuuzi sana wanaona nchi imekuwa mali yao so wanaamua watakavyo. Kama vipi wafute vyama vingi wabaki pekeyao tu
 
Alijifanya mhuni wa kuchoma vitenge vyenye picha ya Rais Mama Samia huyo!
 
😂😂😂 Acha wautumie vzr sasa wakimaliza watumie na uhuru wa kutekwa 😂😂
Mbona walishaonywa kwenye mkutano mmoja wa nchimbi kulikuwa na ulazima gani kutumia nguvu kwa mtu asie na madhara? Maandiko yako yanasadifu makuzi yako yalikuwa ya namna gani
 
Mbona walishaonywa kwenye mkutano mmoja wa nchimbi kulikuwa na ulazima gani kutumia nguvu kwa mtu asie na madhara? Maandiko yako yanasadifu makuzi yako yalikuwa ya namna gani
Enhe naonekana nmekulia kwa nzinwa kijani ee 😂😂😂
 
kutoka kibiti amepekelwa hospitali gani? na ka nini avuke hospitali zote mpaka kufika huko anakotibiwa? kuna jambo limefichwa
 
Ifikie mahali Tanzani Siasa na mpira iwe kwnye list ya sababu za vifo
 
huenda wenye kuhitaji vile vitenge vilivyochomwa walipata hasira sana kwamba why this,

ingawa kuchoma vitenge sio jambo la kiungwana lakini pia kumpiga mtu kwa hasira sio jambo zuri pia 🐒
Abdul, Mafwele na Waziri viongozi wa watekaji! Tunawatafuta wanenu, wake zenu au nyie binafsi mkijichanganya tupo nanyi kiulalo ulalo subirini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…