Pre GE2025 Aisha Machano, Katibu mwenezi BAWACHA Taifa, alitekwa na kupigwa sana, ameokotwa porini akiwa na hali mbaya

Pre GE2025 Aisha Machano, Katibu mwenezi BAWACHA Taifa, alitekwa na kupigwa sana, ameokotwa porini akiwa na hali mbaya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi hawa vyama vya upinzani kwanini wasitafute kazi nyingine ya kufanya?
Kwani ni lazima kufanya siasa?

Kama wanaipenda Sana siasa basi waende huko huko ccm ama sivyo watakuja kufa.

Waende wakapambanie mabadiliko huko huko ndani ya ccm hii nchi haiko tayari kuona ccm inaondolewa madarakani waiache ccm itawale nchi itakavyo. Watakuja kufa bure
Wewe huna faida Kwa maendeleo ya nchi
 
Sihusiki na uhalifu wa watu wasiojulikana

1729423873328.jpeg
 
Baadhi ya majeraha ya kupigwa kwa Katibu Mwenezi wa Bawacha Taifa Mhe. Aisha Machano baada ya kutekwa na kuteswa na watu waliojitambulisha kuwa ni Jeshi la Polisi.
 
Attachments

  • 1C7F4A39-0C6A-44E8-8A84-A9A73C1A6758.jpeg
    1C7F4A39-0C6A-44E8-8A84-A9A73C1A6758.jpeg
    19.8 KB · Views: 3
Huenda tunajiuliza kwanini wananchi wameonesha kukata tamaa, kumbe mambo kama haya wametulia wanayafiatilia kimya kimya, hakuna ulazima wowote wa kuyafanya haya ,
huenda wenye kuhitaji vile vitenge vilivyochomwa walipata hasira sana kwamba why this,

ingawa kuchoma vitenge sio jambo la kiungwana lakini pia kumpiga mtu kwa hasira sio jambo zuri pia 🐒

Kwendeni zenu, ingekuwa hasira si wangempiga hadharani? Kwanini atekwe kwa kuviziwa, apigwe na kuteswa bila kionekana then atupwe porini?! Haya mambo hayakubaliki kwa lugha yoyote ile
gentleman,
Chadema waache ushirikina na haya mambo yao yataisha tu 🐒
 
Huenda tunajiuliza kwanini wananchi wameonesha kukata tamaa, kumbe mambo kama haya wametulia wanayafiatilia kimya kimya, hakuna ulazima wowote wa kuyafanya haya ,
huenda ni kweli wamekataa tamaa kabisa na viongoz wao, kwamba badala waje na mawazo na mipango yakuleta mageuzi, ati woa wanachoma vitenge kana kwamba hilo ndiyo jambo la maanaa zaidi wanachama wao wanataka 🐒
 
Back
Top Bottom