nyiokunda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 1,976
- 1,181
Wewe huna faida Kwa maendeleo ya nchiHivi hawa vyama vya upinzani kwanini wasitafute kazi nyingine ya kufanya?
Kwani ni lazima kufanya siasa?
Kama wanaipenda Sana siasa basi waende huko huko ccm ama sivyo watakuja kufa.
Waende wakapambanie mabadiliko huko huko ndani ya ccm hii nchi haiko tayari kuona ccm inaondolewa madarakani waiache ccm itawale nchi itakavyo. Watakuja kufa bure