Sasa swala la kuchoma vitenge lina sababu gani ya kumuadhibu mama wa watu, wao hasira zao wameamua kuchoma vitenge sasa kunasababu gani ya kumuua. Hii nchi inakwenda kubaya hili kundi la kigaidi likichekewa linaweza kusababisha machafuko nchini kwasababu watu wenye akili zao hata humo serikalini hawezi kukubaliana na upuuzi wanamna hii. Yaani msipishane kauli basi mtu anapotezwa sasa hiyo ni nchi au jehanamu.