Pre GE2025 Aisha Machano, Katibu mwenezi BAWACHA Taifa, alitekwa na kupigwa sana, ameokotwa porini akiwa na hali mbaya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CCM ni chama cha kishetani, kimeunda Serikali ya kishetani. Ni laana kubwa kuongozwa na hawa mashetani. CCM siyo tu inatakiwa kuondolewa madarakani bali inatakiwa kufutwa kabisa kwa sababu haina sifa ya kuwa chama cha siasa.

cCCM inakoelekea, inakuwa ni kama kundi linalochipukia kuwa kundi la kigaidi.
 
4R
 
Wajikite kwenye uchaguzi hizi drama wala hazitowasidia kitu mwisho wa siku watajitia makovu bila sababu!
 
Hivi hawa vyama vya upinzani kwanini wasitafute kazi nyingine ya kufanya?
Kwani ni lazima kufanya siasa?

Kama wanaipenda Sana siasa basi waende huko huko ccm ama sivyo watakuja kufa.

Waende wakapambanie mabadiliko huko huko ndani ya ccm hii nchi haiko tayari kuona ccm inaondolewa madarakani waiache ccm itawale nchi itakavyo. Watakuja kufa bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…