Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
4RKatibu Mwenezi Bawacha Taifa Mhe. Aisha Machano akiwa Kibiti kuendelea na majumu ya Chama ametekwa na kupigwa sana kisha kutupwa porini.
Vijana wa bodaboda wamemuokota akiwa katika Hali mbaya na maumivu makali. Waliomteka walitaka maelezo ni nani aliwaelekeza kuchoma vitenge vilivyogawiwa na Rais
SuluhuSamia katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2023 mkoani Kilimanjaro.
Kwa sasa amefikishwa hospitali kwa ajili ya matibabu na ameingizwa chumba maalum cha upasuaji (Theatre) kwa huduma zaidi.Taarifa za kina zitakuja hapo baadaye kadiri ya tutakavyozipokea.
Pia soma:
Yuko compromised......ukituzuia hupiti uchaguzi.....anaamua kukaa kimya.Wanaofanya vitendo hivi wanahujumu Rais na Serikali . Siasa sio uhadui. Rais nalo hili nalo liangalie
Well said,Ila uzuri nanyi mtakufa,afu mnachoulia wenzenu Wala hamtaendanacho hata kimoja.Shame on you!
Mwanaume unatekaje mtot wa kike na kumpiga?Kumbe ni kati ya wale wahuni waliochoma vitenge ,wananchi wenye hasira wamtammaliza (kibaka) lazima ashambuliwe
Huna akili weweKumbe ni kati ya wale wahuni waliochoma vitenge ,wananchi wenye hasira wamtammaliza (kibaka) lazima ashambuliwe
Wajikite kwenye uchaguzi hizi drama wala hazitowasidia kitu mwisho wa siku watajitia makovu bila sababu!Katibu Mwenezi Bawacha Taifa Mhe. Aisha Machano akiwa Kibiti kuendelea na majumu ya Chama ametekwa na kupigwa sana kisha kutupwa porini.
Vijana wa bodaboda wamemuokota akiwa katika Hali mbaya na maumivu makali. Waliomteka walitaka maelezo ni nani aliwaelekeza kuchoma vitenge vilivyogawiwa na Rais
SuluhuSamia katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2023 mkoani Kilimanjaro.
Kwa sasa amefikishwa hospitali kwa ajili ya matibabu na ameingizwa chumba maalum cha upasuaji (Theatre) kwa huduma zaidi.Taarifa za kina zitakuja hapo baadaye kadiri ya tutakavyozipokea.
Pia soma:
Kuna mtu alimtengenezea mwenzake kesi ya kubambika.......baada ya miezi miwili tu mwanaye akafa kwa ajali.Ila uzuri nanyi mtakufa,afu mnachoulia wenzenu Wala hamtaendanacho hata kimoja.Shame on you!
Sawa sawa ChawaWajikite kwenye uchaguzi hizi drama wala hazitowasidia kitu mwisho wa siku watajitia makovu bila sababu!
Akina Kipara Kipya.....team makonda.Hii awamu inaongozwa na wajinga sana.wanachekele tu kusikia watu wanatekwa.
Uko sasa ndio hukawiii.......Waende wakapambanie mabadiliko huko huko ndani ya ccm hii nchi haiko tayari kuona ccm inaondolewa madarakani waiache ccm itawale nchi itakavyo. Watakuja kufa bure
Unachoma kitenge chako wanawashwa watu wengine.Yaani hao watekaji wanatumia rasilimali za serikali kuteka na kuumiza mwananchi kwa upumbavu wa kuchoma vitenge? Wana akili timamu kweli?