Pre GE2025 Aisha Machano, Katibu mwenezi BAWACHA Taifa, alitekwa na kupigwa sana, ameokotwa porini akiwa na hali mbaya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chadema wanajiteka wenyewe kuipakazia serikali.

Hawana sera hao.
Wewe ni mpumbavu kuliko, toa ushahidi, wanajiteka wenyewe matukio ya aina hii mangapi yanatokea vyombo vya dola vipo kimya ni kazi yao kuwachunguza kwa ushahidi na kiwafikisha mahakamani kwamba wanajiteka wenyewe ushahidi huu hapa.


Acha pumba kwenye vitu muhimu na ushabiki maandazi, Leo ndo nimeona ujinga wako hapa
 
Huko waliuza ubongo siku waliyokabidhiwa vile vipande vya ukaribisho.
 
Haya msmbo yanakera sanaa.
 
Kama kweli alichoma hicho kitenge wakati alipewa kama zawadi na akakipokea, basi hicho kipigo kimemstahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…