Wewe ni mpumbavuWajikite kwenye uchaguzi hizi drama wala hazitowasidia kitu mwisho wa siku watajitia makovu bila sababu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mpumbavuWajikite kwenye uchaguzi hizi drama wala hazitowasidia kitu mwisho wa siku watajitia makovu bila sababu!
Mbana wahuni wa nyumbani kwako huwayambui?Kumbe ni kati ya wale wahuni waliochoma vitenge ,wananchi wenye hasira wamtammaliza (kibaka) lazima ashambuliwe
Wewe ni mpumbavu kuliko, toa ushahidi, wanajiteka wenyewe matukio ya aina hii mangapi yanatokea vyombo vya dola vipo kimya ni kazi yao kuwachunguza kwa ushahidi na kiwafikisha mahakamani kwamba wanajiteka wenyewe ushahidi huu hapa.Chadema wanajiteka wenyewe kuipakazia serikali.
Hawana sera hao.
Maana yake hatakufundishika haowezekani tena.Wewe ni mpumbavu
Sema kama ya enzi za mkoloniAdhabu ya kuchoma vile vitenge eeh
Haya msmbo yanakera sanaa.Katibu Mwenezi Bawacha Taifa Mhe. Aisha Machano akiwa Kibiti kuendelea na majumu ya Chama ametekwa na kupigwa sana kisha kutupwa porini.
Vijana wa bodaboda wamemuokota akiwa katika Hali mbaya na maumivu makali. Waliomteka walitaka maelezo ni nani aliwaelekeza kuchoma vitenge vilivyogawiwa na Rais
SuluhuSamia katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2023 mkoani Kilimanjaro.
Kwa sasa amefikishwa hospitali kwa ajili ya matibabu na ameingizwa chumba maalum cha upasuaji (Theatre) kwa huduma zaidi.Taarifa za kina zitakuja hapo baadaye kadiri ya tutakavyozipokea.
Pia soma:
Kama kweli alichoma hicho kitenge wakati alipewa kama zawadi na akakipokea, basi hicho kipigo kimemstahili.Katibu Mwenezi Bawacha Taifa Mhe. Aisha Machano akiwa Kibiti kuendelea na majumu ya Chama ametekwa na kupigwa sana kisha kutupwa porini.
Vijana wa bodaboda wamemuokota akiwa katika Hali mbaya na maumivu makali. Waliomteka walitaka maelezo ni nani aliwaelekeza kuchoma vitenge vilivyogawiwa na Rais
SuluhuSamia katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2023 mkoani Kilimanjaro.
Kwa sasa amefikishwa hospitali kwa ajili ya matibabu na ameingizwa chumba maalum cha upasuaji (Theatre) kwa huduma zaidi.Taarifa za kina zitakuja hapo baadaye kadiri ya tutakavyozipokea.
Pia soma:
Mavitenge yake alitoa kwasababu ya 4Rs Sasa amekiuka! Nancy Pelocy spika wa bunge la Marekani alichana document ya Trump na Wala hakufanywa chochote! Miafrika ni mipumbavu sana!Hii ni aibu
👇
Kwa nini wasichukuliwe hatua kama wanajiteka?Chadema wanajiteka wenyewe kuipakazia serikali.
Hawana sera hao.
Vitenge sio vyake tena maana alishavitoaAliwapa uhuru na vitenge wanatumia uhuru huo kuchoma vitenge 😂😂
Wewe nawe hamnazo!Kumbe ni kati ya wale wahuni waliochoma vitenge ,wananchi wenye hasira wamtammaliza (kibaka) lazima ashambuliwe