nlrejea mishale mibaya kabisa,nkaambulia kipigo haswa lakin nkawa huru kuanzia hapo,nkawa nkienda band naaga,na sijaacha kwenda naenda mpaka leo.hujamalizia.. enh!! ulivotoroka ulilala hukohukoo au ndo ulirejea mishale mibaya kwa kunyata kama kibaka..
nlrejea mishale mibaya kabisa,nkaambulia kipigo haswa lakin nkawa huru kuanzia hapo,nkawa nkienda band naaga,na sijaacha kwenda naenda mpaka leo.
mbona alikua anamuita DADY siku nyiiingi tu. kabla hayajamkuta yalomkuta
ila sasa ana maanisha zaidi............
KU.....Endelea...........
R.I.P Aisha
Hivi ndo yule mnenguaji au?maana Aisha madinda na asha baraka majina yao huwa yananichanganya