TANZIA Aisha Madinda afariki dunia

TANZIA Aisha Madinda afariki dunia

hujamalizia.. enh!! ulivotoroka ulilala hukohukoo au ndo ulirejea mishale mibaya kwa kunyata kama kibaka..
nlrejea mishale mibaya kabisa,nkaambulia kipigo haswa lakin nkawa huru kuanzia hapo,nkawa nkienda band naaga,na sijaacha kwenda naenda mpaka leo.
 
Inalillah Wainallilah Rajiun. Sisi niwa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.
 
nlrejea mishale mibaya kabisa,nkaambulia kipigo haswa lakin nkawa huru kuanzia hapo,nkawa nkienda band naaga,na sijaacha kwenda naenda mpaka leo.

pole kwa kipigo nadhani kimesaidia kuweka sawa mambo
 
poleni sana wafiwe wote pumzika kwa amani dada yangu Aisha madinda
 
Kila mtu kwa nafasi yake...kwa nafasi yake Aisha ya kucheza shoo za muziki alifanya vizuri (perform) japo hakuachwa vizuri na madawa ya kulevya. Tunasikitika ametuacha. Poleni wafiwa nasi tuliofurahia shoo tumesikitika.
 
rip dada...humu jf leo ni shidaaa tutaona mengi!
 
R.I.P Aisha
Hivi ndo yule mnenguaji au?maana Aisha madinda na asha baraka majina yao huwa yananichanganya

kwani maelezo ya thread yanasemaje? acha kukurupuka bro, soma kwanza ndo ukomment
 
Back
Top Bottom