TANZIA Aisha Madinda afariki dunia

TANZIA Aisha Madinda afariki dunia

Yasikuchanganye hayo majina kuna asha na aisha ni tofauti kabisa mkuu



rip aisha madinda
r.i.p aisha
hivi ndo yule mnenguaji au?maana aisha madinda na asha baraka majina yao huwa yananichanganya
 
Husni l-khaatimi ina maanisha mwisho mwema basi tumuombe ALLAH atupe mwisho mwema.
 
Huyu mara ya mwisho nilisikia alikua anatumia chakula cha Nyoka! - :rip:
 
Jana alikua Shem Karenga - Leo Aisha Madinda - Kifo kwanini huna huruma??:rip:
 
kulikuaga na mnenguaji mwngne anajiita lilian aston vila,hv yupo?
Hao ni watu wawili tofauti, kama kumbukumbu zangu ziko sawa Aston Vila alishatangulia, Lilian Internet yupo Mashujaa Band bado ananengua na anazidi kuwa mzuri.
 
ustaa na maumbile yake aliyatumia vibaya.
Alipiga na kucheza move za porno angali ana watoto wakubwa kabisa
 
Alikuwa teja wa madawa ya kulevya... Aidha alikuwa akihudhuria rehabilitation clinic pale Muhimbili... Hivyo kifo chake ambacho ni cha ghafla mno, kimehusianishwa na mfumo huo wa maisha aliokuwa amechagua.. R.I.P Aisha
 
R.I.P Aisha
Hivi ndo yule mnenguaji au?maana Aisha madinda na asha baraka majina yao huwa yananichanganya

Sio kila kitu ni masihara mkuu, kuna Aisha Madinda na Asha Baraka sasa ambacho hujaelewa ni kipi hapo
 
nakumbuka enzi hizo,kila wimbo wa twanga,lazima usikie jina la Fikiri Madinda likitajwa.sijui alikuwa nani huyu mtu.anyway, RIP mnenguaji A.Madinda.

Fikiri Madinda ndo alikuwa ana mmega
 
Sio kila kitu ni masihara mkuu, kuna Aisha Madinda na Asha Baraka sasa ambacho hujaelewa ni kipi hapo

hii post ilipowekwa ilikuwa haina hayo maelezo,nimejibu kutokana na post kabla haifanyiwa editing.
 
Back
Top Bottom