MIDFIELD
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 1,944
- 702
Aliyeuleta unga Tanzania alaaniwe maisha yake yote...Mungu akupe punzlko ulilo jichagulia,poleni familia.
Ina maana amekufa kwa sembe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyeuleta unga Tanzania alaaniwe maisha yake yote...Mungu akupe punzlko ulilo jichagulia,poleni familia.
r.i.p aisha
hivi ndo yule mnenguaji au?maana aisha madinda na asha baraka majina yao huwa yananichanganya
ina maana amekufa kwa sembe?
Mpwa nipo, za masiku? Habari za katavi?
Kwani alikuwa anatumia hayo makitu au?
Hao ni watu wawili tofauti, kama kumbukumbu zangu ziko sawa Aston Vila alishatangulia, Lilian Internet yupo Mashujaa Band bado ananengua na anazidi kuwa mzuri.kulikuaga na mnenguaji mwngne anajiita lilian aston vila,hv yupo?
R.I.P Aisha
Hivi ndo yule mnenguaji au?maana Aisha madinda na asha baraka majina yao huwa yananichanganya
nakumbuka enzi hizo,kila wimbo wa twanga,lazima usikie jina la Fikiri Madinda likitajwa.sijui alikuwa nani huyu mtu.anyway, RIP mnenguaji A.Madinda.
Sio kila kitu ni masihara mkuu, kuna Aisha Madinda na Asha Baraka sasa ambacho hujaelewa ni kipi hapo