Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Nakumbuka mara ya mwisho alikuwa anadakia Simba Sports Klab aka Mikia.
Simba walipomtema tu amepotea mpaka sasa amekuwa kimya kabisa. Sidhani kama walimtendea haki kumwacha na kumwaribia career yake namna hiyo. Manula alikuwa anafahamika vizuri kama kipa wa Simba
Baada ya hapo amekuwa kimya kabisa. Nadhani ameachana kabisa na mchezo wa mpira wa miguu. Maana hasikiki kabisa. Nashangaa kipa ambaye alikuwa ni Tanzania One.
Nadhani kuna haja ya kuangalia namna ya kukuza vipaji vya wachezaji wetu. Yanga tungemchukua Manula.