cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Wanatafuta kivuli cha kujificha, kabla ya Simba kucheza na yanga walikuwa wakitaniwa wanashinda lakini hawana furaha ila try again na ahmed walisema wao wanahali ushindi.
Ukiangalia ile mechi kuna save nyingi za maana alifanya ila viongozi walitafuta mtu wa kumpa lawama
Mbona ile sare ya 2 kwa 2 meja isamuyo mka mtuhumu Israel mwenda hadi let hamna nae mawasiliano mazuri,
Nyani haoni kundule?
Manura alipokea rushwaa, nayeye hajawahi kana, tukanpa thank you. Yuko zake chamazi huko, hata utopolo wameogopa kumchukua, kisa nn usaliti
😂😂😂